Yalianza kabla wewe hujazaliwa,Umeyakuta,Watayakuta na utayaachaNi ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.
Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Rubbish!Yalianza kabla wewe hujazaliwa,Umeyakuta,Watayakuta na utayaacha
Usipanic
Jaribu kuvaa miwani ili uweze kuona yasioonekana
Sio kila tajiri alifanya kazi kwa bidii na sio kila maskini ni mvivu
Ninachojua Mimi DP World siyo ya mwarabu,ni wazungu na wayahudi wanaofanya divide and rule.Ndugu zetu wameingia kichwa kichwa tu.Rubbish!
Umaskini utajiri umeingiaje hapa?
usibishe ndivyo ilivyo. Hata nyie wengine mnaabudu dini iliyoanzishwa na hao, shikeni adabu zenu na mkae kimya hamuijui katolikiNi ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.
Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Binti mbona kama una stress za kukosa mume?usibishe ndivyo ilivyo. Hata nyie wengine mnaabudu dini iliyoanzishwa na hao, shekeni adabu zenu na mkae kimya hamuijui katoliki
Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.
Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Elimu yangu ni darasa la saba.Kama unaelimu walau ya diploma utaelewa anachokisema Mtoa mada.
Mifumo mingi ya Ulimwengu imehodhiwa na kufanyiwa amendment na hao Wakatoliki.
muambie ukweli huyo, haijui katoliki na nguvu zake duniani. Hawa ndugu zetu wa upande ule wa mama mdogo wetu ni wabishi na akili zao hazina uwezo wa kuchakata mambo na kujua mengi ya dunia hii. Hicho hicho wanachokiabudu wao kimetengezwa na katoliki na katoliki ina code yake kuzima au kuwasha. Mambo ya rohoni yakija mwilini kuyang'amua yataka akili ya hali juu. Hawa ndugu zetu wa ijumaa wawe wapole tu na wajue wanachokiabudu kiliasisiwa na kina nani. Hao waasisi ndio hao wanaowabishia. Usichezee katoliki na usiichukulea poaYalianza kabla wewe hujazaliwa,Umeyakuta,Watayakuta na utayaacha
Usipanic
Jaribu kuvaa miwani ili uweze kuona yasioonekana
Sio kila tajiri alifanya kazi kwa bidii na sio kila maskini ni mvivu
Sasa kama ni matajiri kihivyo, mbona hawa wa kwetu wanatusambazia bahasha za michango kila siku. Na usipochanga wanakuwekea fatwa kwamba ukivuta tu, utajizika mwenyewe.“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.
. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Endelea kujipa moyo kwa kuandika ujingaNi ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.
Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Elimu yangu ni darasa la saba.
Lakini ulichoandika ni zaidi ya uongo.
Ina tofauti gani na kwenda kuhiji Maka?Mkuu wa majeshi wa zamani kuzuru Vatican sasa wana tofauti gani na Wagner wa Russia
Leo ni safar 4,1445AH.Huwezi elewa haya mambo.
Labda Kwa kukupa mfano mdogo, unaweza kuniambia Leo ni Tarehe ngapi? Tuanzie na mifumo ya muda na nyakati.
Kumbuka serikalini kuna waumini wanaowasikiliza viongozi wao wa dini. Serikali sio rais tu. Bahati mbaya Tz tunadhani rais ni mungu mtu hata akiwa mjinga tunashangilia ujinga wakeNi ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.
Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Mwenye masikio na asikie“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.
. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Sawa endeleeni.Kumbuka serikalini kuna waumini wanaowasikiliza viongozi wao wa dini. Serikali sio rais tu. Bahati mbaya Tz tunadhani rais ni mungu mtu hata akiwa mjinga tunashangilia ujinga wake