The Catholic Church is the Biggest Financial Power on Earth

The Catholic Church is the Biggest Financial Power on Earth

Kwani hapa linajadiliwa Kanisa gani sheikhe?

Hata tunazungumzia Kanisa la Roma.

Mimi sio mkatoliki na siwezi kuwa lakini linapokuja ishu za mission na utawala wa Dunia Wakatoliki ni ishu nyingine.

Hizi dini zingine nyingi NI matawi ya ukatoliki ingawaje zinajinasibu sio Wakatoliki.
Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them
Matthew 4:8
And saith unto him, All these things will I give thee, if thou wilt fall down and worship me.
Matthew 4:9
Maneno haya ya shenanigans yanaonesha yeye ndiye mtawala wa falme zote za dunia.Tafakari na uhusishe na dini kubwa yenye mamlaka dunia nzima utapata jibu.
 
Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.

Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Kama hujui ni vema kukaa kimya. Hata hawa marais mlionao wao ndio wanawaweka.
 
Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them
Matthew 4:8
And saith unto him, All these things will I give thee, if thou wilt fall down and worship me.
Matthew 4:9
Maneno haya ya shetani yanaonesha yeye ndiye mtawala wa falme zote za dunia.Tafakari na uhusishe na dini kubwa yenye mamlaka dunia nzima utapata jibu.
😂😂😂 yanaona
 
Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.

Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Pole kama imekugusa
 
Vita vya kibiashara vinavyochochewa na udini,, inahitajika busara ya hali ya juu kutuvusha hapa na sio kiburi, majivuno ama ubabe,, wale watakimbilia Dubai na wengine watakimbilia Vatican,, wenzangu na mimi tutabaki hapa mpaka tumalizane,,
Myakwenda Mecca au nakosea
 
Sasa kama ni matajiri kihivyo, mbona hawa wa kwetu wanatusambazia bahasha za michango kila siku. Na usipochanga wanakuwekea fatwa kwamba ukivuta tu, utajizika mwenyewe.
Utajiju, rudia?
 
Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.

Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Majeshi, Marais and all people in power ni Catholics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo Roma ndiyo wanaoitawala Iran ambayo kwa mujibu wako haijitawali?

Unafahamu kwamba ulaya kwenyewe yalipo makao makuu ya roma(Italy) baadhi ya nchi hazilitambui kanisa katoliki?
Wewe acha hizo!
 
Majeshi, Marais and all people in power ni Catholics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza ushabiki na hisia.

Unafkiri wanajeshi wote ni wakatoliki?

Kwamba mkianza vita nyie peke yenu ndo mtakuwa mna silaha za kuwaua wapinzani wenu?
 
Umetawaliwa na emotions kuliko facts.

Unakosea mpaka kuandika

'Makini' ulitaka kumaanisha majini ama?
Wewe kijana, Kwenye uislamu Kuna Makini, yanahubiriwa na ma ustadhi
 
Kipindi wakatoliki wanaiangusha serikali kwa mtazamo wa kidini,wafuasi wa dini nyingine kama vile waislamu watakuwa wanaangalia tu?
watu waoga ni nyinyi, waoga sana, i tunawaona mitaani.....
 
Waoga eeh endeleeni na mambo yenu kikinuka wewe ndo utakuwa wa kwanza kukimbia na kuitelekeza familia yako.
Hakuna cha kunuka, mkataba mbovu. Kwa wenye akili waliopitia darasani, na SIYO MADRASA, hakuna haja ya kunuka maana ni fact kuwa mkataba ni mbovu, unauza nchi yetu na wewe ukiwemo utauzwa (hutaachwa kwa vile ni muuislamu) . Ukweli huo huuoni kwa vile samia ni dini yako? Samia akimuua baba yako utaacha kumlaumu kwa vile ni dini yako? Acha kutofikiri...
 
Kwani aliyepitia madrasa hawezi kuwa na akili?

Kama akili zipo shuleni tu huo mkataba mbovu ulipitishwa vipi na wabunge zaidi ya mia moja waliopitia shuleni kwenye akili?

Au wabunge waliopitisha IGA wote wamepitia madrasa kwa wasiokuwa na akili?

Tulia ni mkristo mwenzenu tena ni dokta(PhD) wa sheria akiwa kama spika ameupitisha mkataba na DP world,je tulia ni msomi au sio msomi? kama sio je amesoma madrasa kwa wasio na akili?
 
Back
Top Bottom