Hiyo tarehe haitambuliki kimataifa labda kwa wale wafuga majiniLeo ni safar 4,1445AH.
Je hii ni tarehe ya wakatoliki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo tarehe haitambuliki kimataifa labda kwa wale wafuga majiniLeo ni safar 4,1445AH.
Je hii ni tarehe ya wakatoliki?
Leo ni safar 4,1445AH.
Je hii ni tarehe ya wakatoliki?
Haitambuliki au wewe kafiri huitambui?Hiyo tarehe haitambuliki kimataifa labda kwa wale wafuga majini
Kwamba hiyo hapo juu sio tarehe amma?Sasa iambie serikali Leo ni tarehe hiyo alafu ujipige kifua ujiite wewe ni shujaa.
Unahasira sana..kunywa maji utulie kidogo...unakoelekea unaenda kufungulia bomba la matusi.....Haitambuliki au wewe kafiri huitambui?
Kwamba hiyo hapo juu sio tarehe amma?
nimekupiga spana unaamua kuandika shomboBinti mbona kama una stress za kukosa mume?
Unavamia wanaume na kuanza kuwashikisha adabu uogopi?
Au hujafundishwa adabu na kuheshimu wanaume tena ambao wanaweza kukuoa?
Kila kafiri mwenzio kuita watu wafuga majini ni lugha zisizoelekea kwenye matusi?Unahasira sana..kunywa maji utulie kidogo...unakoelekea unaenda kufungulia bomba la matusi.....
Teeh binti kumbe upo vizuri mpaka kwenye kupiga spana?nimekupiga spana unaamua kuandika shombo
NimechekaKwa hiyo wewe Mimi nikisema Leo ni sudu 7, 8888 utasema ni Tarehe?
Nenda kamuuliza mtoto wako Leo ni tarehe ngapi alafu atakachokijibu baki nacho.
Wenzako wameweka mifumo ya kutawala Dunia wewe unaleta mifumo ya kutawala ukoo au nchi.
Wanasapot waraka ,mara kanisa lina nguvu linafungamana na ufreemason.
Mwingine,waraka umeandikwa kwa kiswahili fasaha.
Mshamba mleta uzi 👉 kanisa lina nguvu kubwa ya kiuchumi dunia.
Jadilini hoja mambo ya kutishwa kwa watu ambao wanajitoa muhanga kawaida sna,kama mnataka vita tangazeni sio mikwara ya kishamba ,hakuna mtu anaogoa wanaume ambao hawawezi kuoa hata kujiamini hawajiamini.
Hoja za hovyo then mnatumia mlengo kutetea ,wakati watu wanakosoa waleta waraka ni watu kama wewe ,weny elimu za mchongo na pia wamedhulumu na kuibia nchi kweny madili ya uwizi ...Hao bado wanabaka na kunajisi ,juzi tu hapa walikuwa wanatumia computers za kanisa kuangalia pornos.
Halafu unafkiri wao wanawaogopa warabu big no.Ninachojua Mimi DP World siyo ya mwarabu,ni wazungu na wayahudi wanaofanya divide and rule.Ndugu zetu wameingia kichwa kichwa tu.
Una hakika juu ya mambo haya au akili yako na Tecno yako vinafananaKichwa cha habari ni kweli wanayo pesa kwasababu wapo vizuri kwenye kupora vijisadaka hadi vya wajane wauza mchicha kule kijijini....ni taasisi ya kibiashara kama zilivyo taasisi nyingine za kibiashara
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kanisa misikiti uongozwa watu kiroho na kimwili, Serikali inaongoza mwili.Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.
Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
huyo jamaa unamuelimisha lakini anashupaza shingo kwa kwa ubishi. Haijui katoliki ilivyo na nguvu duniani. Akasome zaidi mambo ya kiroho na kimwili pengine atapata ufahamuKwa hiyo wewe Mimi nikisema Leo ni sudu 7, 8888 utasema ni Tarehe?
Nenda kamuuliza mtoto wako Leo ni tarehe ngapi alafu atakachokijibu baki nacho.
Wenzako wameweka mifumo ya kutawala Dunia wewe unaleta mifumo ya kutawala ukoo au nchi.
Kwahiyo unaamini TEC wataishinda serikali?Kanisa misikiti uongozwa watu kiroho na kimwili, Serikali inaongoza mwili.
Hao hao Serikalini Wana dini iweje sasa dini isiwe na nguvu