The Catholic Church is the Biggest Financial Power on Earth

Umepaniki, haya ni majibu baada ya ninyi kusema kanisa hakuna lolote Maaskofu wanaweza kufanya. Sasa we are trying to show you how powerful we are?
Sasa angalia Hapa kanisa ilivyoenda UAE na jinsi mlivompokea

View: https://youtu.be/Ot1Vslt6bC4
Hapa bongo hamfaki kitu na dini sio mtu kama nyie mnaenda kukri dhambi kwa binadamu mwenzenu😂😂.

Hoja hamna maaskofu hawana elimu wameandika madudu ,baada ya kusoma tu unaona akili ndogo imeandika hapa level ya form four ,mtu unasoma then unapata maswali kibao kama sio uwezo mdogo wa kuandika hoja😂.
 
Halafu unafkiri wao wanawaogopa warabu big no.

Wao wanaogopa kanzu na viremba tu.

Hao hao warabu wakija wamevaa suti hutaskia hizi kelele.
😂😂😂Wanavyoogopa kufa kwa vile ni watu wa dhulma .

Ukiangalia vile pranks ya mtu anavaa kama muarabu anaangusha bag ,watu anakimbia kwa uoga wanafikiria ni bomu.
 
Soma tena ulichoandika je kinahusiana na mada iliyoko mezani au haihudiani na kama haihusiani kiwango chako Cha ujinga unastahili kuandika hivyo .
Kwa maana hiyo hata wewe huelewi hujui ulichoandika nachelea kutumia ada yangu vibaya. Adious
 
CCM ni ndogo Sana mbele ya kanisa
 
Wenzako wameweka mifumo ya kutawala Dunia wewe unaleta mifumo ya kutawala ukoo au nchi.
Acha kujilisha upepo wewe.

Je kanisa linaitawala china,Saudia,misri,north korea,iran,iraq, congo?

Au hizo nchi hazipo duniani huko zilipo kanisa ndo inazitawala?
 
Soma tena ulichoandika je kinahusiana na mada iliyoko mezani au haihudiani na kama haihusiani kiwango chako Cha ujinga unastahili kuandika hivyo .
Kwa maana hiyo hata wewe huelewi hujui ulichoandika nachelea kutumia ada yangu vibaya. Adious
Sasa mbona mikwara ya kitoto ? baada ya waraka kuwa wa form four mnaanza kuleta vitisho ..kwa nn mnatumia nguvu kuaminisha watu ujinga wenu 😂😂?
 
And yet they chose not end famine or poverty!
 
Acha kujilisha upepo wewe.

Je kanisa linaitawala china,Saudia,misri,north korea,iran,iraq, congo?

Au hizo nchi hazipo duniani huko zilipo kanisa ndo inazitawala?

Ndio maana nikakuambia kwamba Historia unayoijua na ulipoisomea ni kubwa Sana. Ishike hiyohiyo.

Kwa uelewa wako Iran inajitawala😂😂
 
Teeh binti kumbe upo vizuri mpaka kwenye kupiga spana?

Unapiga ukiwa umevaa nini kanga tupu au na gagulo ndani?
una mwili mkubwa lakini akili ndogo, huwezi ligi na mimi lazima ukimbie uingie mitini
 
...and it shall remain in power untill and untill...it's even crazy to imagine
 
Kila kafiri mwenzio kuita watu wafuga majini ni lugha zisizoelekea kwenye matusi?
Sasa unajipanga kutukanana na watu hewa ..huwajui..wote mnatumia ID fake...Huoni kuwa unajiletea stress isiyo ya lazima??
 
una mwili mkubwa lakini akili ndogo, huwezi ligi na mimi lazima ukimbie uingie mitini
Teeh teeh binti una miwasho mpaka umeuvutia picha mwili wangu wakati hujawai kuniona!

Mtoto khasara tupu wewe?
 
Tufanye haijitawali.

Je kanisa ndilo linalotawala Iran?

Kama ndiyo ni kanisa gani?

Hili swali utaki kulijibu unalikimbia

Kwani hapa linajadiliwa Kanisa gani sheikhe?

Hata tunazungumzia Kanisa la Roma.

Mimi sio mkatoliki na siwezi kuwa lakini linapokuja ishu za mission na utawala wa Dunia Wakatoliki ni ishu nyingine.

Hizi dini zingine nyingi NI matawi ya ukatoliki ingawaje zinajinasibu sio Wakatoliki.
 
Hata tunazungumzia Kanisa la Roma.
Kwahiyo Roma ndiyo wanaoitawala Iran ambayo kwa mujibu wako haijitawali?

Unafahamu kwamba ulaya kwenyewe yalipo makao makuu ya roma(Italy) baadhi ya nchi hazilitambui kanisa katoliki?
 
Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them
Matthew 4:8
And saith unto him, All these things will I give thee, if thou wilt fall down and worship me.
Matthew 4:9
Maneno haya ya shenanigans yanaonesha yeye ndiye mtawala wa falme zote za dunia.Tafakari na uhusishe na dini kubwa yenye mamlaka dunia nzima utapata jibu.
 
Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them
Matthew 4:8
And saith unto him, All these things will I give thee, if thou wilt fall down and worship me.
Matthew 4:9
Maneno haya ya shetani yanaonesha yeye ndiye mtawala wa falme zote za dunia.Tafakari na uhusishe na dini kubwa yenye mamlaka dunia nzima utapata jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…