Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023.
Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio mengi ya ubakaji ikifuatiwa na Morogoro. Matukio ya ulawiti pia yaliongezeka kutoka matukio 1,586 yaliyoripotiwa mwaka 2022 hadi matukio 2,488 yaliyoripotiwa mwaka 2023 katika vituo mbalimbali vya polisi.
Kwa upande mwingine Arusha inatajwa kuwa na idadi kubwa ya matukio ya ulawiti ikifuatiwa na Mjini Magharibi.
---
According to the Crime and Traffic Incidents Statistics Report, cases of rape and sodomy have continued to rise in Tanzania. In 2022, there were 6,827 reported cases of rape, but this number increased to 8,691 in 2023. Mjini Magharibi is reported to have the highest number of rape incidents followed by Morogoro.
Cases of sodomy also rose from 1,586 reported incidents in 2022 to 2,488 reported incidents in 2023 at various police stations.On the other hand Arusha is reported to have the highest number of sodomy incidents followed by Mjini Magharibi.
Infographic: Rape and Sodomy Cases Are on Rise in Tanzania. Mjini Magharibi, Morogoro, Arusha Top the List With Many Reported Cases - The Chanzo