Hao vijana wamedhulumiwa nini?Lakini vijana wanasema Chanzo ni Dhulma. Je ni kweli Dhulma ipo au haipo?
Kwanini isiwe Bara badala ya Zanzibar? Zanzibar ni kisiwa hakuna hata kichaka cha kujifichia lkn Bara kuna misitu mikubwa na mapori ambayo ni rahisi kutumiwa na watu wabaya. Inataka kujenga hoja zenye mashiko kuituhumu Zanzibar kuwa inaweza kutumiwa kwa uhalifu wa aina yoyote ile.Zanzibar wasipobanwa vizuri ugaidi utashamiri sana
Kwanini isiwe Bara badala ya Zanzibar? Zanzibar ni kisiwa hakuna hata kichaka cha kujifichia lkn Bara kuna misitu mikubwa na mapori ambayo ni rahisi kutumiwa na watu wabaya. Inataka kujenga hoja zenye mashiko kuituhumu Zanzibar kuwa inaweza kutumiwa kwa uhalifu wa aina yoyote ile.
Hawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.Hawa wenzetu huwa wanaingiwa na nn kama ni kukataa dhulma hizo njia wanazo chukua ndio wameona ni sahh [emoji52]
Ugaidi hahusiani na dini yoyote ,usidanganywe,ziko nchi kama Dubai,Abu Dhabi,Bahrain,Qatar,Brunei,Oman, nk,ni 100% waislamu wananchi wake,mbona hakuna mambo hayo.Zanzibar ni rahisi. Sababu elimu ya dini ipo juu sana.. na hakuna mchanganyiko mkubwa kama bara. Zanzibar 99 % ya population ni dini moja. Hivyo kushawishi vijana ni easy sababu wote wako njia moja.
Tofauti na bara John best friend wake ni Juma. Mohamed demu wake ni Nancy.
Unaanzia wapi kumshawishi mtu hapo aende Jihad
InasikitishaHawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.
Sijawahi kuona mantiki ya kuua wenzako eti kisa dini..chaajabu wanaua hata waimani yao.
Ni roho ya ushetani tu imewajaa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama hao wanataka bikra 70,huko Ireland ya kaskazini,Sudani ya kusini,Kongo,Rwanda,Burundi,Urusi,Ukraine,M23,huko nako wanataka nini,wakiwa ni wakristo 100%,au wanataka wakapakatwe na Ibrahim,kama yule Lazaro,alivyopakatwa.Hawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.
Sijawahi kuona mantiki ya kuua wenzako eti kisa dini..chaajabu wanaua hata waimani yao.
Ni roho ya ushetani tu imewajaa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hapa tunazungumzia uwezekano wa hayo kutokea na hatuzungumzii uwingi wa waumini wa dini. Hoja yangu ni kwamba Zanzibar hakuna hata kichaka cha kujifichia, hiyo jihad itafanywa mitaani? Na ikifanywa mitaani itakuwa ni tishio wakati askari wapo? Tujenge hoja zenye mashiko siyo fikra zisizokuwa na uzito kwa sababu tu Zanzibar kuna waumini wengi wa dini moja. Akili ya kuambiwa ongeza na yako.Zanzibar ni rahisi. Sababu elimu ya dini ipo juu sana.. na hakuna mchanganyiko mkubwa kama bara. Zanzibar 99 % ya population ni dini moja. Hivyo kushawishi vijana ni easy sababu wote wako njia moja.
Tofauti na bara John best friend wake ni Juma. Mohamed demu wake ni Nancy.
Unaanzia wapi kumshawishi mtu hapo aende Jihad
Wale wanaojitoa muhanga hujiripua wakiwa maporini??Hapa tunazungumzia uwezekano wa hayo kutokea na hatuzungumzii uwingi wa waumini wa dini. Hoja yangu ni kwamba Zanzibar hakuna hata kichaka cha kujifichia, hiyo jihad itafanywa mitaani? Na ikifanywa mitaani itakuwa ni tishio wakati askari wapo? Tujenge hoja zenye mashiko siyo fikra zisizokuwa na uzito kwa sababu tu Zanzibar kuna waumini wengi wa dini moja. Akili ya kuambiwa ongeza na yako.
Wewe ni mpuuzi Sana ujue....mara nyingi Sana huangalii mantiki Ila chuki ya udini Tu.....wachangiaji wote wameliangalia Jambo Kwa kipawa cha Ugaidi na athari zake lkn wewe upuuzi umekujaa Sana KakaHawana lolote tamaa za bikra 70 akhera naile mito ya k vant ndio zimewajaa tu.
Sijawahi kuona mantiki ya kuua wenzako eti kisa dini..chaajabu wanaua hata waimani yao.
Ni roho ya ushetani tu imewajaa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tusichoshane sana kwa vimifano vyako vy kujiokoteza..wapi uliwahi ona mkristo ana ua mkristo mwenzake kisa dini..Kama hao wanataka bikra 70,huko Ireland ya kaskazini,Sudani ya kusini,Kongo,Rwanda,Burundi,Urusi,Ukraine,M23,huko nako wanataka nini,wakiwa ni wakristo 100%,au wanataka wakapakatwe na Ibrahim,kama yule Lazaro,alivyopakatwa.
Hivi hivyo vilipuzi vinawekwa kwenye watu/majumbani?Wale wanaojitoa muhanga hujiripua wakiwa maporini??
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe hujui kama wakatoliki na waprostant,wameuana miaka nenda rudi,huko Ireland ya Kaskazini.Tusichoshane sana kwa vimifano vyako vy kujiokoteza..wapi uliwahi ona mkristo ana ua mkristo mwenzake kisa dini..
Ila suni na shia je wanakalika pamoja??
Anyway tuwalinde ndugu zetu na tulinde nchi yetu hawa religion extremists hawafai kuchekewa hata kidogo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa umedanganywa kama hao waliodanganywa ,hakuna kitu kama hicho.Yaani mtu na akili yake, yupo tayari aende akauawe ili aende " mbinguni" akat*mbe wanawake 70. Kuna ujinga mwingi sana
Kwahiyo ni kweli kuwa mbinguni kazi itakuwa ni moja tu ya kut*omba? Maana wanawake 70 sio mchezo. Sasa kama kila mtu anat*omba hiyo itakuwa ni sehemu takatifu au danguro? Na vipi kuhusiana na wanawake wa kiislamu watakaoenda mbinguni, vp kuhusu wao? Nao kila mmoja wapo atapewa wanaume 70 wa kumt*omba ama vp? Yan dini ni ujinga mkubwa sanaWewe utakuwa umedanganywa kama hao waliodanganywa ,hakuna kitu kama hicho.
Askof Joseph Kibwetere na wezake,wakanisa la Amri kumi za Mungu(hawa kwanza walikuwa wakatoliki),Uganda,aliwachoma moto wakristo 778,kwa kuwadanganya wampe mali zao,kwa vile kaoteshwa na Bikira Maria,mwisho wa Dunia,na inasemekana aliua zaidi ya 778,bali ya makaburi yaliyokutwa kwenye kanisa lake na kwenye makazi yake.