The Citizen ndilo Gazeti linalostahili kuungwa mkono na pongezi toka kwa wananchi

Citizen na Mwananchi ni magazeti yanayomilikiwa na Agakhan yenye makao yake Kenya.Kipindi hiki tumeshuhudia vyombo vya habari vya Kenya vikiwa mbele kuhusu mgombea wa uraisi Bwana Lissu vikimpamba na kumpa Airtime.
Hamtaki aandikwe wa kupambwa hata kidogo ?!. Wivu wa kike huo
 
Walishindws kulielewa tu sasa umefanya kosa kuwashtua.
 
Huyu ndiye Pasco wa zamani, black aliita black... Ila huyu Pasco wa sasa mmmmh...
 
Huyu ndiye Pasco wa zamani, black aliita black... Ila huyu Pasco wa sasa mmmmh...
Human beings are not static, they are dynamic, and hence, they change with time, Pasco wa sasa ni Pasco Kada!.
P
 
Haya ni magazeti ya Kenya, yaliletwa na Mkapa enzi hizo. Kwao hayawezi kuandika habari za uchonganishi zisizokuwa na mizania. Wakenya siku zote huwa hawatutakii mema. Wangefurahi sana kama na sisi tungaliyapata kama wanayoyapata kwenye chaguzi za huko kwao.

Kuna haja baadaye sheria zetu zikarekebishwa kutoruhusu magazeti yanayomilikiwa na makampuni ya nchi za nje ku operate nchini kwetu. Au na sisi turuhusiwe kuanzisha magazeti yetu nchini Kenya.
 
Seriously?? Kwamba unataka sasa magazeti yote yawe yanasifu tu kama mengine??
 
Seriously?? Kwamba unataka sasa magazeti yote yawe yanasifu tu kama mengine??
Nimesema hatutaki magazeti ya nchi nyingine kuchapishwa nchini kwetu. Mbona sisi nchi hizo hazituruhusu kufanya hivyo kwao?
 
Nimesema hatutaki magazeti ya nchi nyingine kuchapishwa nchini kwetu. Mbona sisi nchi hizo hazituruhusu kufanya hivyo kwao?
Clearly, hujui sheria za nchi yako. Mswada wa vyombo vya habari uliopitishwa 2016 umedhibiti umiliki wa vyombo vya habari kutoka nje nchini. Kabla ya huo mswada, National Media Group ndio ilikua inamiliki Mwananchi kwa asilimia kubwa, ila kwa sasa chombo kinamilikiwa na Mtanzania. National Media ina stale 49%. Sasa unavyosema hivo you don't make sense.

Pili, kabla hujaleta hoja ni vizuri ufanye utafiti, la sivyo unaishia kupotosha. Aliekuambia sheria za Kenya haziruhusu uwekezaji wa vyombo vya habari kutoka nchi ngeni ni nani? Hata Uganda, pamoja na udictaror wao wanaruhusu ni kuwa tu soko la media Kenya lipo very competitive, na hamna mwekezaji aliejitokeza kufanya biashara hiyo, ila hawajakatazwa. Acha kupotosha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…