The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-

IMG-20250216-WA0060.jpg

Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
 
The Citizen nao wamekuwa machawa wa mama?
 
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-

View attachment 3238231
Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
Acha upotoshaji wa kijinga, utalii umefunguka baada ya kupita jamga la corona na sio sababu ya royal tour. Unakwama wapi chawa?
 
Acha upotoshaji wa kijinga, utalii umefunguka baada ya kupita jamga la corona na sio sababu ya royal tour. Unakwama wapi chawa?
Mjinga mwenyewe ila hujijui pumbavu
 
Mzazi aliyekuzaa wewe chawa alikula hasara bora amepiga punyeto tu..
Wewe umezaliwa msenge toka tumbo la mama yako. Pingana na data za The Citizen siyo na mimi
 
Hizo zote ni hela za kulipana posho,akitokea mfadhili hapo,TUNAKOPA.
 
Wewe umezaliwa msenge toka tumbo la mama yako. Pingana na data za The Citizen siyo na mimi
Machawa wengi mnakuwaga mmezaliwa kwenye umasikini kunuka ndio maana mnapenda kusifiasifia ungekuwa umezaliwa kwenye royal family usingefanya u'quomer kama huu..
 
Mzazi aliyekuzaa wewe chawa alikula hasara bora amepiga punyeto tu..
Kwani baba yako wewe ulimuona anapopiga punyeto?

Mnakimbilia matusi badala ya kuja na hoja za ku challenge data za gazeti!! Vijana wa hovyo kama Yoso hamna mchango kwa Taifa la Tanzania
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sidhani kama iko hivyo, usitake kuyafanya maisha yako yawe magumu Zaidi ya hapo
Yawezekana na wewe uko kwenye same bandwagon ya kuwa na negativity kwa kila kinachofanywa na Serikali. Hii data ni ya Citizen, nao wametoa BOT na mimi nimeileta hapa.

Kama siyo Royal Tour imeongeza utalii basi anayebisha aje na hoja tuzijadili, lakini kuitana eti chawa au mpumbavu ni kutotumia JF vizuri

Kwa nini uwe na chuki na vitu concrete kama hivyo? Labda Tindo anaumwa ugonjwa wa Asperger syndrome
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kwani baba yako wewe ulimuona anapopiga punyeto?

Mnakimbilia matusi badala ya kuja na hoja za ku challenge data za gazeti!! Vijana wa hovyo kama Yoso hamna mchango kwa Taifa la Tanzania
Umetoka wapi ww Popoma ?
 
Cholo wewe.... Then what next!??.watu wanakosa huduma mhimu huo utalii unasaidia Bibi tozo sio Tz!!. M.fuvck
 
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-

View attachment 3238231
Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
Utalii upo kabla ya hiyo Royal Tour ya Samia.Sisi ambao tunahusika moja kwa moja na sekta ya Utalii tunajua hilo.

Mlioko Vingunguti,Tandika na Shimo la udongo mnaweza kudanganyika na Royal Tour ambayo haina impact yoyote na ukuaji wa sekta ya utalii.
 
hahah ilikuwa hivyo miaka yote tangia uhuru, wakati wa B.Mkapa kwa mara ya kwanza dhahabu ikaongoza kwa mapato na kwa miaka mingi tu iliyofuatia, kulikuwa na high quality and good paying jobs huko kwenye migodi, halmashauri zilikuwa zinafanya vizuri tu, sasa tumerudia kule kule kwa kutegemea utalii, nchi yenye karibia kila aina ya rasilimali tunategemea utalii, hivyo tumerudi nyuma kwenye uzalishaji …
 
Back
Top Bottom