Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Mapato yanaongezeka, Kodi Tozo kukamuliwa kunaongezeka, Huduma zinapunguzwa..., One has to ask haya yote ni kwa faida ya nani ?!!!
www.jamiiforums.com
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...