TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Lakini, hoja ilikuwa ni efficiency. Labda kwa sekta zilizotajwa tuzipime efficiency ya kutoa huduma tuone ipi inaongoza!..nilidhani bandari na dpw ndio wanaongoza kwa kuchangia uchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini, hoja ilikuwa ni efficiency. Labda kwa sekta zilizotajwa tuzipime efficiency ya kutoa huduma tuone ipi inaongoza!..nilidhani bandari na dpw ndio wanaongoza kwa kuchangia uchumi.
Hahahaha wasomi haoHuna reference kwa hiyo UNAROPOKA tu!
Waziri wa habari wa wakati huo Nape alipoona Samia kaachwa mbali kwenye mpambano akaamua kulitishia kulikufungia gazeti la Citizen na kuamuru liombe radhi kwa kuendesha Poll km hiyo..Hiyo poll iliishaje?
Labda ni muda muafaka Sasa poll hii irejewe. Mambo mengi mazuri yamefanyika.Waziri wa habari wa wakati huo Nape alipoona Samia kaachwa mbali kwenye mpambano akaamua kulitishia kulikufungia gazeti la Citizen na kuamuru liombe radhi kwa kuendesha Poll km hiyo..
Ni mwaka jana tu siku chache kabla ya Nape kutumbuliwa, unataka kusema kuna kitu gani kipya zaidi ya ufisadi uliotamalaki...Labda ni muda muafaka Sasa poll hii irejewe. Mambo mengi mazuri yamefanyika.
Kwani hata hizo pesa za utalii ni za Tanzania? pesa wanazo kusanya TANAPA ni kwenye bilion 300 kwa mwaka yaani TANAOA kama TANAPA wanazidiwa na TBL kaangakie data mkuu sio maneno yangu. yaani kodi wanayo lipa TBL inazidi makusanyo ya TANAPA.
wanao fadikika na utalii ni makampun ya kigeni wale ndio wanufaikaji wakuu kabisa wa hizo pesa zinarudi kwao. angalau kidogo mapato ya Korosho au tumbaku naweza kubaliana kwamba wakulima wanaoata pesa hapo
TBL ilibinafsishwa mwaka 1993 na TCC imeuzwa mwaka 1995 , Rais alikuwa Ali Hassan Mwinyi.yeah tbl ni success story, ni kazi ya B.Mkapa, siyo tbl tu banks crdb au nmb zote ni matunda ya kazi ya B.Mkapa, usisahau kiwanda cha sigara pia …
Leta takwimu za ku justify hicho unachosema, kutoa a mere sweeping statement ni un professionalEeghh umenigeuzia kesi tena? Royal tour haina impact Yoyote ile, hili halina ubishi wala halihitaji kuwa na reference Yoyote, Just a common sense. Ila tusibishane, uko Sahihi kabisa.
Hujui namna Bank Of Tanzania wanavyokusanya data, kaa kimya usionyeshe ujinga wakoHizo ni pesa wanatengeneza wazungu wanao milika tour oparators companies, TANAPA kwa mwaka makusanyo yao getini hayafiki hata billion 500 sana yanachezea bilion 300 hadi 350
Utalii unawanufaisha Wageni wanao milika makampuni, Hahaaa
Hapo mshindi alitakiwa awe mkapaVipi hapo Citizen walikuwa sawa ?
Kwaiyo ilitakiwa ufungue tour company uache kupigapiga kelele humu Jf na siasa za majitakaHizo ni pesa wanatengeneza wazungu wanao milika tour oparators companies, TANAPA kwa mwaka makusanyo yao getini hayafiki hata billion 500 sana yanachezea bilion 300 hadi 350
Utalii unawanufaisha Wageni wanao milika makampuni, Hahaaa
Tatizo Gen z ambao ndo wapiga kura hawakuepo kipindi hichoyeah tbl ni success story, ni kazi ya B.Mkapa, siyo tbl tu banks crdb au nmb zote ni matunda ya kazi ya B.Mkapa, usisahau kiwanda cha sigara pia …
Kwani hao marais wengine kwenye hiyo polls wametoka Vyama vingine?Wote ni CCM. Hivyo hoja yako hapo mantiki ni nini?Kuna wa Chadema, ACT au NCCR Mageuzi hapo?Waziri wa habari wa wakati huo Nape alipoona Samia kaachwa mbali kwenye mpambano akaamua kulitishia kulikufungia gazeti la Citizen na kuamuru liombe radhi kwa kuendesha Poll km hiyo..
Upo sahihi. Asilimia kubwa ya hela ya utalii inarudi kwa wageni hao hao.Hizo ni pesa wanatengeneza wazungu wanao milika tour oparators companies, TANAPA kwa mwaka makusanyo yao getini hayafiki hata billion 500 sana yanachezea bilion 300 hadi 350
Utalii unawanufaisha Wageni wanao milika makampuni, Hahaaa