Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mapema sana tu
Wapendwa wasomaji,
Tumeamua kuondoa animation tulio-share tarehe 1 Oktoba, 2024, kutoka kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii (X na Instagram), kwani ulionyesha matukio yaliyoibua wasiwasi kuhusu usalama wa watu nchini Tanzania.
Uamuzi wetu wa kuondoa animation hizo unatokana na tafsiri potofu ambayo imetokea, tafsiri ambayo haikulingana na nia yetu ya awali.
The Citizen inabaki kuwa na dhamira ya kuendelea kuelimisha umma kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kwa lengo la kuchangia maendeleo na ustawi wa Tanzania.
Kwa heshima,
Mpoki Thomson
Mhariri Mkuu
Lakini animations zipo kwenye 'autopilot'; yaani, zinasambaa sasa!!
Mimi mwenyewe nilikuwa sijui kama waliweka hiyo katuni ila nimekuta inasambazwa kwenye makundi ya WhatsApp wakizungumzia ufutwaji wake 😏Walivyofuta ndio wamechochea zisambazwe kwa waliokuwa nazo tayari.
Kila mtu ambaye atakuwa hajaziona atasema "nitumie sijaona" ndio mwanzo wa kusambaa kwa kasi.
Watu hawaupendi ukweli, lkn ukweli unapenda a na watu. Imeenda hiyoKuna watu watamlamu huyu mzee anayehimiza kujiunga na ushirika wa waislam lakini mimi nadhani wanakosea. Huu mzee anaelezea hali halisi ya Tanzania ilivyo kikatiba na kiutawala.