Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Wapendwa wasomaji,
Tumeamua kuondoa animation tulio-share tarehe 1 Oktoba, 2024, kutoka kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii (X na Instagram), kwani ulionyesha matukio yaliyoibua wasiwasi kuhusu usalama wa watu nchini Tanzania.
Uamuzi wetu wa kuondoa animation hizo unatokana na tafsiri potofu ambayo imetokea, tafsiri ambayo haikulingana na nia yetu ya awali.
The Citizen inabaki kuwa na dhamira ya kuendelea kuelimisha umma kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kwa lengo la kuchangia maendeleo na ustawi wa Tanzania.
Kwa heshima,
Mpoki Thomson
Mhariri Mkuu