The Citizen waondoa maudhui ya video za katuni (animations) zilizohusu hali ya usalama nchini, wasema zilipewa tafsiri potofu tofauti na nia yao

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Wapendwa wasomaji,

Tumeamua kuondoa animation tulio-share tarehe 1 Oktoba, 2024, kutoka kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii (X na Instagram), kwani ulionyesha matukio yaliyoibua wasiwasi kuhusu usalama wa watu nchini Tanzania.

Uamuzi wetu wa kuondoa animation hizo unatokana na tafsiri potofu ambayo imetokea, tafsiri ambayo haikulingana na nia yetu ya awali.

The Citizen inabaki kuwa na dhamira ya kuendelea kuelimisha umma kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kwa lengo la kuchangia maendeleo na ustawi wa Tanzania.

Kwa heshima,
Mpoki Thomson
Mhariri Mkuu

Citizen.jpg

Attachments

  • 5840030-8b6e32e8c5d088c4b2c50a4a8b0414c1.mp4
    14.7 MB
Walivyofuta ndio wamechochea zisambazwe kwa waliokuwa nazo tayari.

Kila mtu ambaye atakuwa hajaziona atasema "nitumie sijaona" ndio mwanzo wa kusambaa kwa kasi.
 
Mimi mwenyewe nilikuwa sijui kama waliweka hiyo katuni ila nimekuta inasambazwa kwenye makundi ya WhatsApp wakizungumzia ufutwaji wake 😏
 
Kuna watu watamlamu huyu mzee anayehimiza kujiunga na ushirika wa waislam lakini mimi nadhani wanakosea. Huu mzee anaelezea hali halisi ya Tanzania ilivyo kikatiba na kiutawala.
 
Watu hawaupendi ukweli, lkn ukweli unapenda a na watu. Imeenda hiyo
 
Back
Top Bottom