Adhabu waliyopewa Kampuni ya Mwananchi haiendani na kosa la kimaudhui walilochapisha.
Zile animations zina hatari kubwa zaidi huwenda hata kuibua chuki na uhasama mkali baina ya wananchi na serikali yao, Raia kwa Raisi wao lakini hata taswira hasi kutoka kwa wananchi dhidi ya raisi na serikali.
Uwasilishaji wa maudhui ya katuni angeachiwa Masoud kipanya, ila kwa nilichokiona ni mwananchi wameenda beyond professionalism and intellectuality na kosa lile walipaswa wanyanganywe leseni ya kuchapisha maudhui yoyote mtandaoni kwa miezi sita ikiwemo pia mhariri mkuu wa maudhui hayo kushitakiwa kwa kosa la uchochezi.