The Citizen waondoa maudhui ya video za katuni (animations) zilizohusu hali ya usalama nchini, wasema zilipewa tafsiri potofu tofauti na nia yao

Naona wamefungiwa kabisa na TCRA. Nchi ya hovyo sana hii.
 
Adhabu waliyopewa Kampuni ya Mwananchi haiendani na kosa la kimaudhui walilochapisha.

Zile animations zina hatari kubwa zaidi huwenda hata kuibua chuki na uhasama mkali baina ya wananchi na serikali yao, Raia kwa Raisi wao lakini hata taswira hasi kutoka kwa wananchi dhidi ya raisi na serikali.
IMG_4793.jpeg
Uwasilishaji wa maudhui ya katuni angeachiwa Masoud kipanya, ila kwa nilichokiona ni mwananchi wameenda beyond professionalism and intellectuality na kosa lile walipaswa wanyanganywe leseni ya kuchapisha maudhui yoyote mtandaoni kwa miezi sita ikiwemo pia mhariri mkuu wa maudhui hayo kushitakiwa kwa kosa la uchochezi.
 
Kwayu kama Yuko Mwanancji hadi Leo ni Jipu.
Kitabu walichoandika cha JPM,kilifia wapi?
 
Tunamshukuru Mungu kwamba Ujumbe wao Umewafikia watu wote
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Ku
Adhabu waliyopewa Kampuni ya Mwananchi haiendani na kosa la kimaudhui walilochapisha.

Zile animations zina hatari kubwa zaidi huwenda hata kuibua chuki na uhasama mkali baina ya wananchi na serikali yao, Raia kwa Raisi wao lakini hata taswira hasi kutoka kwa wananchi dhidi ya raisi na serikali.
Uwasilishaji wa maudhui ya katuni angeachiwa Masoud kipanya, ila kwa nilichokiona ni mwananchi wameenda beyond professionalism and intellectuality na kosa lile walipaswa wanyanganywe leseni ya kuchapisha maudhui yoyote mtandaoni kwa miezi sita ikiwemo pia mhariri mkuu wa maudhui hayo kushitakiwa kwa kosa la uchochezi.
Kumbe sheria kandazizi za mwendazake zipo bado?? Mnyang'anye lesseni na nyie mnyang'angwe misada na mabeberu wanaowaweza muendeshe serikali
 
Back
Top Bottom