Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hatukuona iwekeni hapaTunamshukuru Mungu kwamba Ujumbe wao Umewafikia watu wote
Kumbe sheria kandazizi za mwendazake zipo bado?? Mnyang'anye lesseni na nyie mnyang'angwe misada na mabeberu wanaowaweza muendeshe serikaliAdhabu waliyopewa Kampuni ya Mwananchi haiendani na kosa la kimaudhui walilochapisha.
Zile animations zina hatari kubwa zaidi huwenda hata kuibua chuki na uhasama mkali baina ya wananchi na serikali yao, Raia kwa Raisi wao lakini hata taswira hasi kutoka kwa wananchi dhidi ya raisi na serikali.
Uwasilishaji wa maudhui ya katuni angeachiwa Masoud kipanya, ila kwa nilichokiona ni mwananchi wameenda beyond professionalism and intellectuality na kosa lile walipaswa wanyanganywe leseni ya kuchapisha maudhui yoyote mtandaoni kwa miezi sita ikiwemo pia mhariri mkuu wa maudhui hayo kushitakiwa kwa kosa la uchochezi.