Njoo na theory inayofanya watu wawe na rangi tofauti tofauti kwa mujibu wa maandiko yako ya Annunaki, pia sababisha ukweli na uongo wa Kuwa Binadamu tuko Gerezani,
Ujio wa Yesu kama Masiah.
Ndoto ni Nini? na hasa unapoota watu waliokwisha kufa/ Kwa mujibu wa maandiko yako ya Annunaki.
Nadharia za Alliens zipo nyingi Sana na kila moja inatofautiana na nyenzake. Hakuna consensus kati ya nadharia moja na nadharia nyingine.
Nitaanza kukujibu Kwa ufupi Sana Juu ya nadharia kuhusu chanzo cha uwepo wa watu mbalimbali.
Hii ni moja Kati ya nadharia nyingi zinazo elezea kuhusu chanzo cha uwepo wa watu wa rangi tofauti tofauti katika Sayari ya dunia.
Nadharia hii inaeleza hivi, MTU mweusi Ndio binadamu original. Ndio binadamu alie umbwa na Mwenyezi na kupewa funguo za ufalme wa Sayari ya dunia.
Nadharia hiyo inasema.hivi, wazungu ni offsprings wa fallen angels hence wazungu Ndio the true Alliens in our planet.
Wazungu walifikaje duniani kama tunasema they are the offsprings of the fallen angels?
Baada ya kutupwa duniani Shetani na jeshi lake walikuja na.kuweka makazi Yao katika eneo la Chini ya dunia ambalo linajulikana kama kuzimu. umbali WA kutoka duniani Hadi kuzimu NI kilometa sifuri.
Shetani alipo fika duniani alikuta ufalme wa dunia upo Chini ya binadamu ( Adam ) ambae alikuwa MTU mweusi.
Ufalme wa Adamu ( MTU mweusi) katika Sayari ya dunia lilikuwa ni Agano Kati ya Mungu na Mwanadamu.
Mungu akiweka Agano lake hata yeye mwenyewe linamfunga.
Njia pekee unayo weza kuitumia KUBADILISHA AGANO la Mungu Juu ya MTU au kitu Fulani ni kukitoa kitu hicho kwenye nafasi yake na wewe kukaa kwenye nafasi hiyo ( kufanya mapinduzi ) Lakini sio KUBADILISHA AGANO.
Ndicho alicho kifanya Shetani. Ili kumtoa Adamu kwenye nafasi yake ilikuwa ni LAZIMA atumike kiumbe ambae ana vinasaba vya mwanadamu.
Yeye kama yeye pamoja na nguvu zake zote asingeweza kumtoa Adamu na kukaa kwenye nafasi yake bila vinasaba vya Adamu kutumika.
So Shetani akaamua ni lazima atengeneze kiumbe mwenye kufanana na Adamu ili amtumie kiumbe huyo kusimama kama mbadala WA Adamu katika AGANO la Mungu na Adamu.
Kiumbe huyo atakuwa na vinasaba vyake Shetani yeye mwenyewe but atakuja duniani kupitia uzao wa Adamu na Hawa.
Shetani alicho kifanya akaamuru jeshi la malaika wake wahasi kukaa kwenye mimea na miti mbalimbali inayo tumiwa na binadamu kama.chakula.
Yeye kama yeye alienda kukaa kwenye ule mti wa ujuzi wa mema na mabaya ufaao Kwa chakula ambao Mungu aliwakataza Adamu na Hawa kuula.
Lengo la Shetani kufanya hivi NI nini?
Lengo la Shetani hapa ilikuwa ni kumanipulate DNA ( vinasaba) vya Adamu na Hawa pamoja na uzao wao wote ili kuleta duniani viumbe wenye damu ya Shetani.
Hawa alipokula tunda la mti ule akawa amekula tunda la mti ambao tayari ulikuwa unakaliwa na Shetani na baada ya Kula tunda la mti Huo yeye pamoja na mume wake DNAs zao zikawa manipulated na walipo zaa watoto baada ya hapo walikuwa wanazaa watoto wazungu ambao ni damu za Shetani. Before that walikuwa wamezaa watoto wengi Tu ambao walikuwa weusi.
Hao watoto kisheitwani Ndio uzao WA kizazi cha wazungu.
Ndio maana baada ya kuzaliwa watoto hao WA kisheitwani ndipo uovu mkubwa ulipo Anza kutamalaki duniani. Mfano Cain kumuua nduguye Abel etc.
Hawa kizazi cha wazungu walikuja na maarifa ya juu kutoka Kwa Baba Yao ambae NI shetani.
Kabla ya kizazi hiki cha kisheitwani duniani kulikuwa na Amani na mambo mengi hayakuwepo but mara Tu baada ya ujio WA wazungu ndio tukaanza kuona mambo ya kiteknolojia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia before.
KUHUSU YESU KUJA DUNIANI!
Mungu alikasirishwa Sana na kitendo cha Adam kuuza ufalme wake Kwa adui. Ilibidi Mungu mwenyewe aje duniani kutoa damu yake mwenyewe Kwa ajili ya kuurudisha ufalme wake kwenye Mikono ya viumbe wake wapendwa.
Kwanini ilikuwa NI lazima itumike damu yake Mungu mwenyewe? NI Kwa sababu AGANO la Kwanza Kati yake na Adamu lilisimamishwa Kwa damu yake mwenyewe. Katika ulimwengu wa ROHO hakuna AGANO lolote lile linaweza kusimamishwa bila damu. Ninaposema damu hapa ninamaanisha nguvu ya uhai ama.life force. Damu yako damu ya mnyama au kiumbe yoyote Yule duniani ina represents a certain life force in the realm of the spirit.
So Mungu akalazimika.yeye mwenyewe kuja duniani kuja kumwaga.damu yake mwenyewe.
So as I have said before, Mungu anaheshimu Sana MAAGANO yake. MAAGANO yake hata yeye mwenyewe yanamfunga.
Angeweza kushuka yeye mwenyewe Kwa umbo lake Hadi hapa duniani Lakini isingewezekana cause tayari alikuwa ameweka AGANO la kumpa binadamu ufalme wa dunia.
So ili Mungu kuja duniani ilimbidi aje duniani Kwa Sura na umbo la mwanadamu na kupitia tumbo la mwanamke.
Yule Masihi aliye zaliwa pale Bethlehem alikuwa ni binadamu aliyebeba nafsi ya Kwanza ya Mungu ingawa yeye mwenyewe alikuwa nafsi ya pili ya Mungu ( Mungu mwana katika Enzi )
The Blood of Jesus was transported from Heaven to Earth in order to defeat Satan na kuurudisha ufalme Kwa mwanadamu.
This is the same same blood which defeated Satan in Heaven wakati WA Vita ya MBINGUNI Kati ya Mungu na Shetani.
So what defeated Satan in Heavy came to redefeat him in Earth .