The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

Mimi nilivyosoma paragraph kama mbili nikaona huu ni ukwaju kabisa bora niokoe muda nisome comments labda nawaza pata summary .
 
What happened to us on Mars a ten of thousands of years ago has been repeated again. Let's adopt a wait and c attitude.

# what will be our next destination?

# Which planet arewe going to move on?

Source : My own artwork.( Utunzi wangu mwenyewe)

.
Hadithi yako kakufundisha nani?
 
baadhi ya wafuasi wa conspiracy theory wanadai sisi binadamu ni zao la annunaki.

hawa annunaki ni viumbe wenye akili nyingi sana toka sayari za mbali waliokuwa wanaitembelea dunia katika safari zao za kutafuta makazi mapya nje ya sayari yao.

wadadisi wanadai annunaki walipoamua ku-settle duniani, walihitaji watumwa wa kuwasaidia katika kazi zao mbalimbali.

wakamtengeneza binadamu wa kiume na kike kwa njia ya genetic modification. pia wakamtenezea mfumo wa kuweza kujifanyia cloning yeye mwenyewe kupitia njia ya tendo la ndoa(kuzaliana).

kwa mujibu wa wadadisi, annunaki kwa kusaidiana na watumwa wao, ndio waliojenga mapiramidi makubwa huko misri na sehemu mbalimbali duniani.

mpaka leo watafiti na wanasayansi wanakili kwamba ujenzi wa yale mapiramidi ya kale pale misri haukuwa wa akili ya kawaida ya kibinadamu.
Nimesoma.sana kuhusu theories za hawa Annunaki na Kwa kiasi kikubwa nilicho kiandika kipo inspired na theories zao.

Nadharia ya Annunaki inafikirisha Sana. Kuna wengine wanasema Annunaki walipokuja duniani walikuta viumbe wengine wote wapo isipokuwa binadamu.

So wakawaingilia masokwe wakazaliwa binadamu. Kwa maana nyingine binadamu ni clonning ya Annunaki na sokwe. Na katika kutetea hoja hii wanasema Ndio maana binadamu Ndio kiumbe pekee ambae hayupo favoured na nature. Binadamu Hawezi kuishi uchi, binadamu Hawezi kuishi bila nyumba, binadamu Hawezi Kula chakula kibichi mpaka kipikwe au kichemshwe Kwanza save for few exceptions. Binadamu Hawezi kunywa maji mpaka aya treat Kwanza vinginevyo ataugua.
Tofauti na viumbe wengine, wanaishi bila nguo, wanakula vyakula vibichi, NYAMA mbichi, wanakunywa maji bila kuyatreat etc .

Kuna wengine wanasema dunia is a celestial laboratory. We are an Allien's project. Kuna kitu wanataka kutengeneza katika Sayari Yao so wanatutumia Sisi kama Guinea pig.

Kuna wengine wanasema viumbe wote waliopo duniani kuanzia binadamu, wanyama,mimea,ndege,samaki, mimea,wadudu nakadhalika walitengenezwa na kampuni tofauti tofauti za Alliens.

Kila kampuni ina product yake. Na uwepo WA product hizo katika Sayari ya dunia Una represents interest za kampuni husika. Na kila kampuni ina protect products zake Kwa means ambazo zipo aligned na Alliens technology.

Hapa wanasema zamani kulikuwa na.species za ndege,wanyama, wadudu,samaki,mimea etc ambazo sasa hivi zimetoweka. Wanasema sababu NI kwamba hizo kampuni zilizotengeneza product hizo hazikuwa na technology kubwa ambayo ingeweza kufanya products zao zisustain harsh conditions on the planet Earth.
 
Kwa sababu umeulimit ubongo wako kwenye kile ambacho tayari unakifahamu na kuufanya usiwe tayari kupokea wazo jipya.
Njoo na theory inayofanya watu wawe na rangi tofauti tofauti kwa mujibu wa maandiko yako ya Annunaki, pia sababisha ukweli na uongo wa Kuwa Binadamu tuko Gerezani,
Ujio wa Yesu kama Masiah.
Ndoto ni Nini? na hasa unapoota watu waliokwisha kufa/ Kwa mujibu wa maandiko yako ya Annunaki.
 
Njoo na theory inayofanya watu wawe na rangi tofauti tofauti kwa mujibu wa maandiko yako ya Annunaki, pia sababisha ukweli na uongo wa Kuwa Binadamu tuko Gerezani,
Ujio wa Yesu kama Masiah.
Ndoto ni Nini? na hasa unapoota watu waliokwisha kufa/ Kwa mujibu wa maandiko yako ya Annunaki.

Nadharia za Alliens zipo nyingi Sana na kila moja inatofautiana na nyenzake. Hakuna consensus kati ya nadharia moja na nadharia nyingine.

Nitaanza kukujibu Kwa ufupi Sana Juu ya nadharia kuhusu chanzo cha uwepo wa watu mbalimbali.

Hii ni moja Kati ya nadharia nyingi zinazo elezea kuhusu chanzo cha uwepo wa watu wa rangi tofauti tofauti katika Sayari ya dunia.

Nadharia hii inaeleza hivi, MTU mweusi Ndio binadamu original. Ndio binadamu alie umbwa na Mwenyezi na kupewa funguo za ufalme wa Sayari ya dunia.

Nadharia hiyo inasema.hivi, wazungu ni offsprings wa fallen angels hence wazungu Ndio the true Alliens in our planet.

Wazungu walifikaje duniani kama tunasema they are the offsprings of the fallen angels?

Baada ya kutupwa duniani Shetani na jeshi lake walikuja na.kuweka makazi Yao katika eneo la Chini ya dunia ambalo linajulikana kama kuzimu. umbali WA kutoka duniani Hadi kuzimu NI kilometa sifuri.

Shetani alipo fika duniani alikuta ufalme wa dunia upo Chini ya binadamu ( Adam ) ambae alikuwa MTU mweusi.

Ufalme wa Adamu ( MTU mweusi) katika Sayari ya dunia lilikuwa ni Agano Kati ya Mungu na Mwanadamu.

Mungu akiweka Agano lake hata yeye mwenyewe linamfunga.

Njia pekee unayo weza kuitumia KUBADILISHA AGANO la Mungu Juu ya MTU au kitu Fulani ni kukitoa kitu hicho kwenye nafasi yake na wewe kukaa kwenye nafasi hiyo ( kufanya mapinduzi ) Lakini sio KUBADILISHA AGANO.

Ndicho alicho kifanya Shetani. Ili kumtoa Adamu kwenye nafasi yake ilikuwa ni LAZIMA atumike kiumbe ambae ana vinasaba vya mwanadamu.

Yeye kama yeye pamoja na nguvu zake zote asingeweza kumtoa Adamu na kukaa kwenye nafasi yake bila vinasaba vya Adamu kutumika.

So Shetani akaamua ni lazima atengeneze kiumbe mwenye kufanana na Adamu ili amtumie kiumbe huyo kusimama kama mbadala WA Adamu katika AGANO la Mungu na Adamu.

Kiumbe huyo atakuwa na vinasaba vyake Shetani yeye mwenyewe but atakuja duniani kupitia uzao wa Adamu na Hawa.


Shetani alicho kifanya akaamuru jeshi la malaika wake wahasi kukaa kwenye mimea na miti mbalimbali inayo tumiwa na binadamu kama.chakula.

Yeye kama yeye alienda kukaa kwenye ule mti wa ujuzi wa mema na mabaya ufaao Kwa chakula ambao Mungu aliwakataza Adamu na Hawa kuula.


Lengo la Shetani kufanya hivi NI nini?

Lengo la Shetani hapa ilikuwa ni kumanipulate DNA ( vinasaba) vya Adamu na Hawa pamoja na uzao wao wote ili kuleta duniani viumbe wenye damu ya Shetani.

Hawa alipokula tunda la mti ule akawa amekula tunda la mti ambao tayari ulikuwa unakaliwa na Shetani na baada ya Kula tunda la mti Huo yeye pamoja na mume wake DNAs zao zikawa manipulated na walipo zaa watoto baada ya hapo walikuwa wanazaa watoto wazungu ambao ni damu za Shetani. Before that walikuwa wamezaa watoto wengi Tu ambao walikuwa weusi.

Hao watoto kisheitwani Ndio uzao WA kizazi cha wazungu.

Ndio maana baada ya kuzaliwa watoto hao WA kisheitwani ndipo uovu mkubwa ulipo Anza kutamalaki duniani. Mfano Cain kumuua nduguye Abel etc.

Hawa kizazi cha wazungu walikuja na maarifa ya juu kutoka Kwa Baba Yao ambae NI shetani.

Kabla ya kizazi hiki cha kisheitwani duniani kulikuwa na Amani na mambo mengi hayakuwepo but mara Tu baada ya ujio WA wazungu ndio tukaanza kuona mambo ya kiteknolojia ambayo hatukuwahi kuyashuhudia before.


KUHUSU YESU KUJA DUNIANI!

Mungu alikasirishwa Sana na kitendo cha Adam kuuza ufalme wake Kwa adui. Ilibidi Mungu mwenyewe aje duniani kutoa damu yake mwenyewe Kwa ajili ya kuurudisha ufalme wake kwenye Mikono ya viumbe wake wapendwa.


Kwanini ilikuwa NI lazima itumike damu yake Mungu mwenyewe? NI Kwa sababu AGANO la Kwanza Kati yake na Adamu lilisimamishwa Kwa damu yake mwenyewe. Katika ulimwengu wa ROHO hakuna AGANO lolote lile linaweza kusimamishwa bila damu. Ninaposema damu hapa ninamaanisha nguvu ya uhai ama.life force. Damu yako damu ya mnyama au kiumbe yoyote Yule duniani ina represents a certain life force in the realm of the spirit.

So Mungu akalazimika.yeye mwenyewe kuja duniani kuja kumwaga.damu yake mwenyewe.

So as I have said before, Mungu anaheshimu Sana MAAGANO yake. MAAGANO yake hata yeye mwenyewe yanamfunga.

Angeweza kushuka yeye mwenyewe Kwa umbo lake Hadi hapa duniani Lakini isingewezekana cause tayari alikuwa ameweka AGANO la kumpa binadamu ufalme wa dunia.

So ili Mungu kuja duniani ilimbidi aje duniani Kwa Sura na umbo la mwanadamu na kupitia tumbo la mwanamke.

Yule Masihi aliye zaliwa pale Bethlehem alikuwa ni binadamu aliyebeba nafsi ya Kwanza ya Mungu ingawa yeye mwenyewe alikuwa nafsi ya pili ya Mungu ( Mungu mwana katika Enzi )

The Blood of Jesus was transported from Heaven to Earth in order to defeat Satan na kuurudisha ufalme Kwa mwanadamu.

This is the same same blood which defeated Satan in Heaven wakati WA Vita ya MBINGUNI Kati ya Mungu na Shetani.

So what defeated Satan in Heavy came to redefeat him in Earth .
 
Nimeishia paragraph ya kwanza, upuuzi mwingi. Waste of time kusoma yote
 
Aisee huu uongo mkubwa sana kama unaamini uwepo wa hao mitume..
Inabidi uamini kutolewa peponi kuletwa duniani na si kuletwa venus...
Story yako y kutunga
Adam na Hawa walipoumbwa waliwekwa kwenye bustani ya Eden.

Hiyo bustani ya Eden haikuwa hapa duniani.

Bustani ya Eden ilikuwa kwenye sayari iitwayo Venus au Zuhura Kwa Kiswahili.


Baada ya Adam na Hawa kuvunja maagizo ya Mungu, Mungu aliwaondoa katika bustani ya Eden ( Sayari ya Venus ) na kuwatupa katika Sayari ya Mars.


Kisha Mungu akalisogeza jua karibu na sayari ya Venus ili kuifanya Sayari hiyo isikalike ( habitable) na mwanadamu. Tukio hili la Mwenyezi Mungu kulisogeza Jua karibu na sayari ya Venus Ndio Hilo lililo andikwa Kwa lugha ya picha kwenye maandiko matakatifu kwamba " BAADA YA MUNGU KUWAFUKUZA ADAM NA HAWA KWENYE BUSTANI YA EDEN ALIMUWEKA MALAIKA MWENYE UPANGA WENYE KUWAKA MOTO KWA AJILI YA KUILINDA BUSTANI"

Genesis 3:24 " After he drove the man out, he placed on the EAST SIDE of the Garden of Eden cherubim and a FLAMING SWORD FLASHING BACK AND FOURTH to guard the way to the tree of life


Sasa Huo upanga wenye kuwaka Moto ndio hili Jua unalo lifahamu wewe.

Binadamu waliishi kwenye sayari ya Mars Hadi kizazi cha Nuhu.

Kizazi cha Nuhu Ndio kizazi cha mwisho cha binadamu walio.ishi katika.sayari ya Mars
Binadamu walio ishi katika Sayari ya Mars waliendelea kiteknolojia Kwa kiwango cha Hali ya juu Sana.

Moja Kati ya teknolojia walizo kuwa nazo ni pamoja na vyombo vya kusafiri nje ya sayari halikadhalika nje ya galaxy yetu.

Katika teknolojia hii yapo mataifa katika Sayari ya Mars ambayo yaliweza kutoka Nje ya sayari ya Mars kwenda katika Sayari nyingine na galaxies nyingine Kwa ajili ya kutafiti kama.kuna uwezekano WA kuwepo na uhai katika Sayari hizo.

Moja Kati ya sayari walizo fanikiwa kuzingundua ni pamoja na sayari hii ya dunia.

Kutokana na maendeleo makubwa ya kiteknolojia katika Sayari ya Mars, mataifa makubwa katika Sayari hiyo yaliweza kutengeneza silaha za Aina mbalimbali zikiwemo silaha za nyuklia halikadhalika silaha za kibaiolojia.

Yaliibuka mataifa mawili yaliyo kuwa na nguvu zinazo karibiana.

Kati ya mataifa hayo mawili, moja lilikuwa Ndio Taifa lenye nguvu kubwa za Kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia na Taifa Hilo jingine lilikuwa ni Taifa lililo kua linaendel a Kwa Kasi ya ajabu Sana kijeshi, Kiuchumi na kiteknolojia.

Taifa hili lililokuwa linakua Kwa Kasi taratibu lilianza kupata ushawishi katika mataifa mengine madogo madogo, makubwa Kwa ya Kati Hali iliyo zua hofu Kwa Taifa lile jingine kubwa ambalo lilihofu kunyanganywa ufalme wake.

Ili kukabiliana na hofu hiyo, Taifa Hilo lenye nguvu liliamua kutengeneza silaha ya kibaiolojia ili kumaliza kizazi chote cha watu katika Taifa Hilo lililokuwa linakua Kwa kasi.

Silaha hiyo kweli ilifanikiwa, watu wote katika Taifa Hilo waliangamizwa Kwa ugonjwa hatari na WA ajabu ambao ulikuwa ukisambazwa Kwa njia ya hewa.

Kutokana na muingiliano WA shughuli mbalimbali za kibiashara Kati ya Taifa Hilo dogo na mataifa mengine, ugonjwa Huo uliendelea kusambaa Kwa watu wa mataifa mengine ukiwamaliza wote Taifa moja Hadi jingine bila kuacha kitu chochote chenye uhai , ulimaliza kuanzia watu, mimea, wanyama, wadudu,ndege,samaki nk na kuharibu mazingira/ Kwa kiwango cha Hali ya juu Sana.

Hali hii ilimstua Mfalme Nuhu, nae akaitisha kikao cha dharula na wanasayansi wa jeshi la Taifa Hilo.

Wana sayansi hawakumficha Nuhu, walimwambia baada ya miezi Saba ugonjwa Huo utaingia katika Taifa Hilo na kuteketeza watu wote na kila kitu chenye uhai na hakutokuwepo tena na uwezekano WA kuishi katika Sayari hiyo.

Suluhisho ni lazima watu wote katika Taifa Hilo wahamie katika Sayari ya dunia na Jambo Hilo lifanyike ndani ya miezi Saba vinginevyo watakao kutwa katika Taifa baada ya miezi hiyo Saba wote wata angamizwa.

Kweli ikatengenezwa SPACESHIP kubwa Sana ambayo kwenye Biblia na Kurani imetajwa kama SAFINA.

Mfalme Nuhu akapitisha decree kwamba raia wote katika Taifa Hilo wanatakiwa kuondoka ndani ya Taifa Hilo na kwenda katika.sayari nyingine Kwa njia ya usafiri WA hiyo spaceship.

Na Jambo Hilo linatakiwa lifanyike ndani ya miezi Saba.

Sababu iliyo tolewa NI kwamba BAADA YA miezi Saba yatatokea mafuriko mabaya Sana ambayo yataua na kuteketeza kila.chenye uhai katika Taifa Hilo na Ndio utakuwa mwisho wa.kizazi cha binadamu.

Watu wote walitakiwa kuwa wameingia ndani ya spaceship hiyo ndani ya miezi sita. Defaulters wote hawataruhusiwa kuingia kwenye spaceship baada ya deadline.




Mfalme akaamuru katika spaceship hiyo ziwekwe species za kila mnyama, kila mdudu, kila samaki,kila ndege, na kila mmea unaopatikana katika Taifa Hilo ili kusudi watakapo fika katika Sayari ya dunia vitu hivyo VIWE replanted katika Sayari ya dunia na viweze kuwasaidia wao na vizazi vitakavyo kuja baada yao.Hili la kuweka wanyama ,wadudu,ndege,samaki,na mimea ya species zote likafanyika.

Kutokana na ufinyu wa nafasi na ukubwa WA safari haikuwa rahisi kubeba kila mnyama ndege, mdudu, samaki na.mmea.kutoka katika Sayari ya Mars ndio maana wakalazimika kubeba angalau wanyama wawili jike na dume Kwa kila specie

Nuhu akaanza kampeni ya kuwatangazia watu wafanye maandalizi ya safari kuelekea Sayari ya dunia Kwa kubeba vyakula vya kutosha na kuingia ndani ya spaceship ili kusubiri muda kuondoka. Vyakula hivyo vingewasaidia wakati WA safari Yao kutoka Mars kuja duniani but pia vingewasaidia kuja kuanzia maisha ndani ya sayari ya dunia.

Watu wengi walipuuzia ushauri WA Nuhu Kwa sababu waliona NI Jambo lisilo wezekana Kwa hiyo waliendelea na maisha yao kama KAWAIDA.

Fast forward: Miezi Saba baadae ugonjwa Huo baada ya kuwa umewamaliza watu,mimea,wadudu, ndege na kila.chenye uhai katika mataifa yote katika Sayari ya Mars sasa vikapiga hodi katika Taifa la Nuhu.

Wakati virusi hivi vinaingia katika Sayari ya Mars , Ile spaceship ya Nuhu ilikuwa.ndio inaanza kupaa taratibu kuelekea duniani.

Virusi hivyo vilianza kuua watu katika takfa kwaa Nuhu Kasi ya ajabu Sana .

Hakuna sehemu iliyo kuwa ina kalika. Yani ilikuwa mchuzi.moto, ugali Moto, maki Moto.

Baadhi ya wahanga wakajaribu kwenda kupata hifadhi katika spaceship ya Nuhu ambayo ilikuwa Ndio ina iacha ardhi ya Taifa Hilo na kujaribu kuomba Nuhu awafungulie waingie but haikuwezekana tena Kwa sababu muda.ulikuwa.umeshapita na spaceship tayari ilikuwa imeondoka tayari kuja katika Sayari ya dunia na.ilikuja na watu wachache.


Alipofika duniani Mfalme Nuhu aliamuru species za miti na mimea yote iwe replanted katika sehemu mbalimbali.

Akaagiza pia species za wanyama, ndege, samaki na wadudu ziwe placed mahali zinapostahili kuwa placed.

And this is how human beings came to planet Earth.

Fast forward, a tenth of thousands of years later, we are repeating the same same thing.

Corona Virus has been planted . Matokeo yake itakwenda kuangamiza dunia nzima.na kuifanya kuwa inhabitable na mwisho wa siku binadamu tutalazimika kwenda katika Sayari nyingine.

What happened to us on Mars a ten of thousands of years ago has been repeated again. Let's adopt a wait and c attitude.

# what will be our next destination?

# Which planet arewe going to move on?


Source : My own artwork.( Utunzi wangu mwenyewe)

.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom