The country SA praises most in EA!

The country SA praises most in EA!

Tanzanians have everything in their country land, peace, no tribalism etc. Why should they flood to foreign lands in numbers, We all kno the reasons for Kenyans Tryin to migrate. Hii sio subject worth a discussion
And yet your beggars/omba omba are sneaking into Kenya in droves.
 
Hehee, nah man, we're not poor as you guys, undressing a dead body from a grave for the sake of uniforms? Nyinyi mko na hali mbaya sana mazee, i married a kenyan, so i know you guys well oh.
Omba omba wenu wanafanya Nini Kenya Tz imekosa?
 
Hehee, nah man, we're not poor as you guys, undressing a dead body from a grave for the sake of uniforms? Nyinyi mko na hali mbaya sana mazee, i married a kenyan, so i know you guys well oh.

I'll undress a corpse any day, than feed on albinos for good fortunes.
Hapa kazi tu.
 
  1. Magufuli/Tanzania
    Kuwahamasisha zaidi wafanyabiashara wa Afrika Kusini kuja kuwekeza hapa nchini kwa kuwa Tanzania inayo dhamira ya dhati ya kuongeza ushirikiano wake na nchi hiyo katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kuja kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo dawa na vifaa tiba, kuchakata madini na kwamba Serikali itatoa ushirikiano wowote utakaohitajika.
  2. Kuongeza ushirikiano na Tanzania katika utalii, hasa ikizingatiwa nchi hiyo inapokea watalii zaidi ya Milioni 10 kwa mwaka ikilinganishwa na Watalii Milioni 1.5 wanaoingia hapa nchini.
  3. Kuongeza safari za treni ya watalii na kwa wawekezaji wa Afrika ya Kusini kuja kuwekeza katika hoteli na fukwe za Tanzania.
  4. Kuendelea kufanya biashara na Tanzania kwani kwa sasa asilimia 70 ya bidhaa za Tanzania zinazokwenda SADC huenda Afrika Kusini na kwamba biashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini imeendelea kukua ambapo katika mwaka 2018 ilikuwa na thamani ya shilingi Trilioni 2 na Bilioni 687 ikilinganishwa na mwaka 2017 ilipokuwa na thamani ya shilingi Trilioni 2 na Bilioni 528.
  5. Tanzania imeamua kuwa itanunua bidhaa zake Afrika Kusini badala ya kununua bidhaa hizo huko mbali, na kwa kuanzia pikipiki za kuongozea misafara ya viongozi tutakazotumia wakati huu wa Mkutano wa 39 wa SADC tumenunua Afrika Kusini.

Kwa upande wake Mhe. Rais Ramaphosa amezungumza haya
  1. Amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kumwalika kufanya Ziara ya Kitaifa hapa nchini na amemhakikishia kuwa wananchi Afrika Kusini wanaiona Tanzania ni nyumbani kwao na hivyo Serikali yake ipo tayari kuuendeleza na kuukuza uhusiano mzuri kati yake na Tanzania.
  2. Mhe. Rais Ramaphosa ameelezea kufurahishwa kwake na kuwepo kwa kampuni 228 za Afrika Kusini zilizowekeza nchini Tanzania na kuajiri wa zaidi ya watu 21,000 na ameahidi kwenda kuwahimiza zaidi wafanyabiashara na wawekezaji wa Afrika Kusini kuja kuwekeza nchini Tanzania huku akiwakaribisha wawekezaji wa Tanzania kwenda kuwekeza Afrika Kusini.
  3. Ameipongeza Tanzania kwa kuzalisha mazao mengi ya chakula na ameahidi kuwa Afrika Kusini itaendelea kununua mazao kutoka Tanzania.
  4. Afrika Kusini ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika nyanja nyingine mbalimbali zikiwemo afya, ulinzi na usalama, utalii na amekubaliana na mapendekezo ya Tanzania juu ya mpango wa kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini hasa wakati huu ambapo SADC inatarajia kuifanya kuwa lugha rasmi ya 4.
Katika ziara hii, Mhe. Rais Ramaphosa ameongozana na Mkewe Mhe. Dkt. Tshepo Motsepe ambaye wakati wa mazungumzo krasmi ya Waheshimiwa Marais amekuwa na mazungumzo na Mke wa Rais wa Tanzania Mhe. Mama Janeth Magufuli.

Chanzo/
Mawasiliano ya Rais, IKULU
15 Agosti, 2019.

Tanzania's only export to SA ni chakula yani SA is the sole beneficiary of "mutual" friendship with Tanzagiza. Kampuni zaidi ya 200 za SA zimwekeza Tz...@geza ulole taja kampuni 10 za Tz kule SA.
 
Wacha excuse ndugu. You are too poor to travel. LDC republic.

Kenyans go to South Africa for business or leisure, because they have the money.

The same way more Kenyans travel to other parts of the world.

Actually, more Kenyans visit even poorer countries like Uganda, Somalia, South Sudan etc. than Tanzanians.
Hahahaha, umesahau ile ripoti iliyoonyesha kwamba wakenya wengi hawapendi kuishi Kenya, wakipata nafasi wangeoenda kwenda kuishi nchi zingine?

Kwanini raia wa nchi zenye uchumi mzuri Africa kama Mauritius, Sychells, Botswana, South Africa, Egypt, Namibia, Tanzania na Angola, huwaoni wakizurura hovyo?.

Raia wanaozurura hovyo ni kutoka, Nigeria, Kenya, Ethiopia, Somalia, Zimbabwe na DRC. Unaweza kutaufa uhusiano wa hizo nchi katika hayo makundi mawili.
 
The poorest people (LDC) cannot afford to provide free WiFi.
Bundles bado mnapimiwa kama dawa.
Here in Nairobi we stopped talking of bundles ages ago.
Its unlimited WiFi delivered via fast fibre optic cables.
Hahahaha, the most basic need for human being if food, a person/ country that can't afford food, is the most useless, even wild animals can feed themselves, you are low than wild animals.
 
You keep fantansizing about the nostalgic good old times, as Kenya makes economic progress.
Which economic progress while you can't do any project from your own money, even construction of dams you cant , Failed state original.
 
Hahahaha, umesahau ile ripoti iliyoonyesha kwamba wakenya wengi hawapendi kuishi Kenya, wakipata nafasi wangeoenda kwenda kuishi nchi zingine?

Kwanini raia wa nchi zenye uchumi mzuri Africa kama Mauritius, Sychells, Botswana, South Africa, Egypt, Namibia, Tanzania na Angola, huwaoni wakizurura hovyo?.

Raia wanaozurura hovyo ni kutoka, Nigeria, Kenya, Ethiopia, Somalia, Zimbabwe na DRC. Unaweza kutaufa uhusiano wa hizo nchi katika hayo makundi mawili.

Lol.. You pull up all your data from your ass.

Raia wa nchi zenye uchumi mzuri hutembea dunia nzima. Wana pesa ambayo inaitwa disposable income. LDC Tanzania hamna.
Ndio maana utapata nchi kama US, UK, Germany, Canada, China na hata South Africa ndio zinaongoza kwa kutalii kwa nchi zingine.

Tanzania nyinyi hutembea tu Kenya, kwa sababu Kenya ndio uingereza yenu. Na safari ya kuja Kenya inahitaji tu nauri ya basi.

Wakenya, kwa sababu wana disposable income, hutembea kila mahali, sio kwa majirani pekee.

Mwisho, South Africa ambayo hauna adabu kuiweka Tanzania kwa ligi yake, iko na watalii wengi wanaokuja Kenya kuliko wakenya wanaoenda huko.

South African tourists in Kenya (2018) - 49,000
Kenyan tourists in South Africa (2017) - 35,000

tour.JPG

So, its time you look at the mirror and realise that poverty is what is making Tanzanians not to travel.
LDC ni chakula mtakula ama ni ndege mtapanda mkatalii?
 
Those are just headlines to massage your egos.

Walimu kwenda South Africa ama nchi yoyote ni private business.

The global swahili studies in all countries; US, Canada, EU, China etc. is dominated by Kenyans.

One of the requirements to teach someone a foreign language, is you first know their language so you can translate.

Tanzanians hawajui Kingereza.
Also, Tanzanians are slow. Not entrepreneurial like Kenyans.

Mimi nilishangaa sana kwamba tourists wa Kenya kwenda South Africa, ni karibu idadi moja na tourists wa Tanzania kwenda South Africa.
This is despite Tanzanians having visa-free access while Kenyans face numerous denials.

Bongolala tu.
Nyie si wa kiingereza wala kiswahili vyote hovyooo
 
  1. Magufuli/Tanzania
    Kuwahamasisha zaidi wafanyabiashara wa Afrika Kusini kuja kuwekeza hapa nchini kwa kuwa Tanzania inayo dhamira ya dhati ya kuongeza ushirikiano wake na nchi hiyo katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kuja kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo dawa na vifaa tiba, kuchakata madini na kwamba Serikali itatoa ushirikiano wowote utakaohitajika.
  2. Kuongeza ushirikiano na Tanzania katika utalii, hasa ikizingatiwa nchi hiyo inapokea watalii zaidi ya Milioni 10 kwa mwaka ikilinganishwa na Watalii Milioni 1.5 wanaoingia hapa nchini.
  3. Kuongeza safari za treni ya watalii na kwa wawekezaji wa Afrika ya Kusini kuja kuwekeza katika hoteli na fukwe za Tanzania.
  4. Kuendelea kufanya biashara na Tanzania kwani kwa sasa asilimia 70 ya bidhaa za Tanzania zinazokwenda SADC huenda Afrika Kusini na kwamba biashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini imeendelea kukua ambapo katika mwaka 2018 ilikuwa na thamani ya shilingi Trilioni 2 na Bilioni 687 ikilinganishwa na mwaka 2017 ilipokuwa na thamani ya shilingi Trilioni 2 na Bilioni 528.
  5. Tanzania imeamua kuwa itanunua bidhaa zake Afrika Kusini badala ya kununua bidhaa hizo huko mbali, na kwa kuanzia pikipiki za kuongozea misafara ya viongozi tutakazotumia wakati huu wa Mkutano wa 39 wa SADC tumenunua Afrika Kusini.

Kwa upande wake Mhe. Rais Ramaphosa amezungumza haya
  1. Amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kumwalika kufanya Ziara ya Kitaifa hapa nchini na amemhakikishia kuwa wananchi Afrika Kusini wanaiona Tanzania ni nyumbani kwao na hivyo Serikali yake ipo tayari kuuendeleza na kuukuza uhusiano mzuri kati yake na Tanzania.
  2. Mhe. Rais Ramaphosa ameelezea kufurahishwa kwake na kuwepo kwa kampuni 228 za Afrika Kusini zilizowekeza nchini Tanzania na kuajiri wa zaidi ya watu 21,000 na ameahidi kwenda kuwahimiza zaidi wafanyabiashara na wawekezaji wa Afrika Kusini kuja kuwekeza nchini Tanzania huku akiwakaribisha wawekezaji wa Tanzania kwenda kuwekeza Afrika Kusini.
  3. Ameipongeza Tanzania kwa kuzalisha mazao mengi ya chakula na ameahidi kuwa Afrika Kusini itaendelea kununua mazao kutoka Tanzania.
  4. Afrika Kusini ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika nyanja nyingine mbalimbali zikiwemo afya, ulinzi na usalama, utalii na amekubaliana na mapendekezo ya Tanzania juu ya mpango wa kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini hasa wakati huu ambapo SADC inatarajia kuifanya kuwa lugha rasmi ya 4.
Katika ziara hii, Mhe. Rais Ramaphosa ameongozana na Mkewe Mhe. Dkt. Tshepo Motsepe ambaye wakati wa mazungumzo krasmi ya Waheshimiwa Marais amekuwa na mazungumzo na Mke wa Rais wa Tanzania Mhe. Mama Janeth Magufuli.

Chanzo/
Mawasiliano ya Rais, IKULU
15 Agosti, 2019.

Tanzania's only export to SA ni chakula yani SA is the sole beneficiary of "mutual" friendship with Tanzagiza. Kampuni zaidi ya 200 za SA zimwekeza Tz...@geza ulole taja kampuni 10 za Tz kule SA.
Hahahaha, Tanzania exports more to SouthAfrica than other way round, balance of trade is in favour of Tanzania, hahahaha, huna unalojua zaidi ya wivu wa Kenya kutokubaliwa kujiunga SADC kwasababu ya usaliti wetu, nendeni mkaombe membershipi EU.
 
Wacha excuse ndugu. You are too poor to travel. LDC republic.

Kenyans go to South Africa for business or leisure, because they have the money.

The same way more Kenyans travel to other parts of the world.

Actually, more Kenyans visit even poorer countries like Uganda, Somalia, South Sudan etc. than Tanzanians.
Hamna lolote wezi tu nyie
 
Which economic progress while you can't do any project from your own money, even construction of dams you cant , Failed state original.

No worries. We're used to your foolish thinking. Man eat nothing society.

Kenya - 100 projects
Tanzania - 1 project (na pesa yetu)

Wacha magari ingoje 'na pesa yetu' itoshe ili barabara zijengwe. Bongolala.
 
Back
Top Bottom