eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Maneno tu.
Kama umetembea, ungejua kwamba Tanzania ni shithole namba moja.
The trash of the world.
LDC without any disposable income to travel.
Likelihood ya kupata Mtanzania mwenzako nchi ya nje (nje ya EAC) ni almost zero.
Huku Nairobi Bonfire Adventures inajaza ndege kila wiki kupeleka watalii wa Kenya Dubai na kwingineko.
Fanya kazi kaka.
Aha haaa
Sasa ndo umeongea nini!!?
Wenzako tumesomea na kufanya kazi vyuo vya ukweli duniani. Hatuna reasoning ya GPA bali ECTS. WEE endelea na unairobery wako na kubeba mizigo ya watalii.
😁😂🤣