Kwa kuwa sijui fani na elimu yako, ila kwa bandiko hili, nimethibitisha kuwa "hujui kwamba hujui".
Unataka tuamini hicho ulichoandika lakini wakati huo huo unachonganya unapodai
Yaani uwezo wetu wa kufikiri ndo umegota kwenye maandiko ya mtandaoni na maoni ya watu binafsi??.
Kwa taarifa yako "knowledge is power". Na "knowledge" inapatikana, pamoja na mambo mengine, kutoka kwenye machapisho ya waliofanya tafiti. Ukifanya tafiti na usiambie dunia ulichogundua, itakuwa bure.
Kuhusu COVID-19, hakuna hata mtaalamu yeyote aliyesema haipo ila wanabishana jinsi uivyoanza, kusambaa (kuenezwa) na jinsi ya kukabiliana nao:
[emoji830]︎ "Lockdown" ilidhaniea kuwa njia sahihi, lakini imebainika nchi zilizotumia njia hii bado ugonjwa ulienea;
[emoji830]︎ Barakoa zimethibitika kuongeza tatizo la kiafya kwa wenye magonjwa ya kupumua km pumu, "pneumonia" na "flu"
na pia baadhi zimengudilika kuwa hatari na hata waliozitumia bado waliambukizwa; na
[emoji830]︎ Chanjo pia nazo hazijathibitishwa uwezo wa kutoa kinga.
Mtafiti yeyote, duniani, hutumia tafiti za awali (empirical evidence) kupinga au kuboresha tafiti hizo na yake mwenyewe.
Kutokana na hoja za bandiko lako, Mkuu
london1, kwa ID hiyo ni dhahiri wewe ni mfungwa wa kupenda vya ughaibuni, na kwa maana hiyo HUJIAMINI. Kwa mtazamo wako huo sina shaka kusema kuwa hujawahi kufanya utafiti na kutoa chapisho lolote.