Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa wote tutakufa mkuu, lakini si kwa mwanadamu mwenzio kukupangia kifo,tena kwa maslahi yake.This is unacceptable. Unapopanga na kuratibu vifo vya watu billioni 7,hii ni unprecedented.Mwisho wa siku kila mtu atakufa kama si kwa hili basi kwa ligine
Yaani hiyo article ya hapo juu ndo unaita research!,research unatafuta ukweli toka source tofauti na zenye uelewa kwenye hiyo subject, sasa wewe unaenda kwenye article aloandika 'michel chossudovsky' alafu unasema umefanya research.michel chossudovsky ni jamaa anaejulikana kwa 'conspiracy theories' na mmoja kwa wanaoongoza kwa propaganda zinazosambazwa na russians. Yeyote anaeamini 5G inaleta corona huyo aina maongezi nae sababu ni chizi,huyo jama yako hapo juu website yake ndo unapata ujinga huo.Ukitaka kujua ukweli kuhusu corona nenda kwa wataalamu wa magonjwa ya upumuaji,walosomea sio mitandaoni.mitandao ni kama bar kila mtu anaweka kelele zake.Real science is against lockdows,social distancing,face masks and the so called C-19 vaccine.Nimeambatanisha ample evidence katika bandiko langu hili[emoji116]
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
kuthibisha yale ninayo yasema,na wewe tupe evidence yako,otherwise nyamaza.Kubwata tu hakutatusaidia sana,unajidhalisha.Watu makini hawafanyi hivyo,they speak with evidence mkuu.No research no right to speak.
london1,your mention of the NWO cabal concept of "conspiracy theories' imenifafanya ni ku-delete kwenye list ya independent minded people,you are a slave.This proves that you are mind controled and a tool for the NWO cabal and psycopaths for distortion.Infact jina lako la "london1" proves further your worship of western values,pole sana unapaswa kuhurumiwa.Yaani hiyo article ya hapo juu ndo unaita research!,research unatafuta ukweli toka source tofauti na zenye uelewa kwenye hiyo subject, sasa wewe unaenda kwenye article aloandika 'michel chossudovsky' alafu unasema umefanya research.michel chossudovsky ni jamaa anaejulikana kwa 'conspiracy theories' na mmoja kwa wanaoongoza kwa propaganda zinazosambazwa na russians. Yeyote anaeamini 5G inaleta corona huyo aina maongezi nae sababu ni chizi,huyo jama yako hapo juu website yake ndo unapata ujinga huo.Ukitaka kujua ukweli kuhusu corona nenda kwa wataalamu wa magonjwa ya upumuaji,walosomea sio mitandaoni.mitandao ni kama bar kila mtu anaweka kelele zake.