M
Mambo ya ujana hayo, nationalization of propertiesSawa kutumia Gold,Silver au hata Crypto Currency ni alternative nzuri,lakini how many people can use that alternative,very few.Mkuu kinacho shangaza ni kwamba serikali ya Cuba ni sehemu ya wizi huu.It seems mpango ni kuiba fedha za wananchi ili wawaingize kwenye social welfare waweze kuwa-control 💯%.
Mkuu I must admit that hii ni scenario ya kutisha sana.Lakini as I have indicated,this is a trial run to see what the reaction will be,wakiona watu wamenywea they will do it somewhere else and later all over the World.So let us be prepared for any eventuality.