The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Moja ya tatizo kubwa linalozikabili nchi za kiafrika ni kuganga njaa kwa kutumia kivuli cha siasa. Baada ya uchàguzi viongozi wa vyama vya siasa huendelea kuzunguka huku na huko kwa wa mgongo wa siasa ili kuhalalisha utumiaji wa fedha za ruzuku kwa kile kinachoitwa kuimarisha chama au kukosoa yale yanayofanywa na serikàli. Lakini wajue kuwa ukosoaji wa serikali nje ya taratibu rasmi za kikatiba hauleti matokeo yoyote chanya kwa serikali iliyopo madarakani kujirekebisha. Ukosooaji bora baada ya uchaguzi hutakiwa kufanyika bungeni. Ndio maana Kafulila alipoamua kuikosoa serikali kuhusu escrow, alifanya hivyo bungeni na matokeo yake yanajulikana.
Hakuna uhuru usio na mipaka.
Professoer amejikita kuhusu uhuru wa kisiasa, mbona hayaoni mengine yanayofanywa na uongozi wa sasa? Anataka nchi iendelee kutawaliwa na nguvu mbili. Moja iliyoshinda uchaguzi na inaendeaha serikali na nyingine iliyoshindwa ikiendesha maandamano.
Haiwezekani zizi likatawaliwa na fahari wawili.
 
So that people like you who writes silly articles take notice
Silly is all relative. You might think I am silly by questioning your unabashed presidential boot licking, but others might think you have a more serious problem of infatuation.
 
Mkuu, nakubaliana na wewe 100%.

Lakini pia huyu profesa ni mnafiki au pengine ni profesa uchwara. Uingereza na Marekani hakuna demokrasia (nimelizungumzia hili swala kirefu siku za nyuma humu). Wana kiinimacho tu cha demokrasia lakini yeye haoni yanayotokea mlangoni kwake bali anaamua kuwavaa wanyonge wa kimatumbi. Mimi wapuuzi kama hawa wanaotembea na nembo za uprofesa siwapi ahueni hata kidogo. Siku zote nitawashushia vipondo.
 
To start with, which micro thing? Since independence, 1961. Presidents have been nominating government executives, Prime ministers down to district officers. No one had ever raised so huge doubt except now as they are fired. In fact, during Mwinyi's regime, one 'kuli' at the National Milling corporation was fired for not rising

So you mean nominating is not at micro management, but firing hurts to meaning, it is a micro level management?
They should be given due process, not fired as a publicity gimmick. I noticed you deftly avoided mentioning Escrow. Isn't that more costly than some petty crooks siphoning off funds?
 
Kusimama kwa miguu yako na kuwa na fikra huru ni mambo ya msingi sana ktk maendeleo ya mwanadamu yoyote dunia.

Nchi ya Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe,na kwa mikono yetu wenyewe na tusitegee eti tunaye Mjomba huko nje aje kutusaidia.Tutakuwa tunajidanganya.

Aluta continua
 
Dah...kidogo tuwe na Gavana wa BOT kutoka Kenya[emoji13] [emoji13]
 
You sound like those few people who were having a good time during KIKWETE rule while the majority of Tanzanians suffering.

What President MAGUFULI is doing is the only way to put Tanzania straight. People who are used to take short cut now they can not cope with the truth. The chest thumbing people who used to use their position to intimidate others are finding difficult to cope.

People who made themselves rich by stealing from the majority are feeling the pain.

People like Mbowe the so called head of oppostion who took advantage doing business in a public building free and not paying rent for so many years amounting to 1.3 billions will hate President MAGUFULI because the rule of law is touching the untouchable, so therefore, `I do understand your pain.
I will never change my mind as I am one of the Tanzanians who support fairness and hate injustice. President MAGUFULI government, so far is doing just that, it has shown to be fair for the majority of Tanzanians, the few let them complain.
Day dreamer
 
Umemuuliza swali la msingi sana
Nadhani ukoo wenu wote wanaweza kuwa na akili kama zako, nisingependa kukutusi lakini unapokunya sebleni ukiwa na akili timamu, kisha ghafla wakaja wageni..utagundua kuwa.wewe ni.........
 
Vipi, unataka tukufanyie machepta na wewe uingie? Buku saba sio haba! Jua kali mkuu.

Just kidding, Sir. But I agree with you, great minds think alike. So it is not a coincident that jingalao and I agree on these issues.
Hahaha!!
 
Mama Obama,
Despite your praises and worship to make your Magufuli more popular it won't work!
The writer/author of the article:"Magufuli is bound to fail" not sure if is a Kenyan or a Tanzanian, he/she is correct by almost 99%.
Let me say this to you and the rest of all who looks and supports Magufuli as their role modal President. Magufuli is nothing but just a mere dictator driving Tanzania like an insober driver. You can refer and quote Mzee Ali Hassan Mwinyi's (rtd Presida) speech delivered on Nyerere day the 14th of Oct,2016. We have just about 2 weeks ahead for Magufuli to clock a 1 solid year in office(365 days). But if some one can make simple survey or analysis, Magufuli is nothing but an empty can. This is where the checks and Balances comes in.
You can't rule the country by a one man show style. This had never worked anywhere and in the world and equally won't work to Magufuli! As the analyst has put it that populist government usually needs to break eggs to make omelettes so as to make their followers happy. This is a naked truth that, in the same country, same president and same constitution you can't make some citizens to suffer just for the sake of others simply because they are from the opposition side! This is a double standard style which will never work. A good President is the one who makes sure that the rule of law is observed according to the Constitution of Tanzania and not otherwise. Magufuli has proved a big failure to this although he was sworn in to take care of the same!.

The author have gone a bit further by giving give examples of other failed previous governments,which takes the popularity actions as Magufuli is currently doing. The popularity egoism in Presidents like Magufuli do mask and limit their strategies.

Magufuli is sailing in the same boat of refusal to follow or strengthen rules of law. Live examples are there to stand. Magufuli has failed to handle the Zanzibar issue, harassing opposition parties by denying them to hold internal/external meetings and peaceful demonstrations according to Tanzania Constitution. Magufuli has as well failed totally to Peoples basic needs like Sugar availability at fair prices, there is now no ESSENTIAL MEDICINES in Hospitals, Dispensaries and Health Centres, there is no more employment at all levels, there is no financial flows anywhere! Magufuli's government now can't even support Financial Loans to our children who expect to join Universities and different Institutions.
Magufuli's priority is Bombardier planes and not Medicines for the dying children and maternal mothers! Look at Kagera Earthquake disaster and hunger strikes but the Magufuli Government is collecting money from donors for infrustructures in Kagera!!! This is the sign of a bankrupcy government. Look at a journalist who reported the hunger case in Kagera but ended in custody!!

If you can real mark these statements it can really change your mind set, but if you don't you're then doomed for good.
Silly is all relative. You might think I am silly by questioning your unabashed presidential boot licking, but others might think you have a more serious problem of infatuation.
Silly is all relative. You might think I am silly by questioning your unabashed presidential boot licking, but others might think you have a more serious problem of infatuation.

That is your problem, all I know he there to govern, and his leadership is approved by over 90% of Tanzanians, accept and move on.
 
Happened two weeks ago after a night with cocaine and sluts.

I wonder when law will put politicians to a psychological evaluations before letting them to decide on anything except their tea time!

Or may be politicians are a reflection of the people who elect them. Remember, that somehow even Liam Fox got elected[emoji1] [emoji1] [emoji1] ..
Iz he the british foreign minister.Again how iz he the british foreign minister?Boris Johnson iz the big dumbass on thz planet.Next tym he will say Africa iz a motorcycle not a country he he he I wonder wat kind of history and geography he learnt in school. That professor should teach hiz minister before faced our prezidaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] be smarter and walk in the light hommie. Just ignore him, commenting him won't help. There're trolls everywhere.

A strong percentage of online trolls are people that are frustrated with the world they were born in. I see a lot of typos from some.
Some ar too dumb n retarded to b alive in an ordinary world. He iz loosing hiz attitude n ground. The fact iz he do nt know and that iz the way it iz. No intellect,only passion n more likely baseless judgement.
 
They should be given due process, not fired as a publicity gimmick. I noticed you deftly avoided mentioning Escrow. Isn't that more costly than some petty crooks siphoning off funds?
Nahisi tuko levels tofauti za ufahamu. Yaani corruption ya bandarini, kwenye containers elfu kadhaa na meli zaidi ya 60 kutoweka wewe unaita ni petty crooks! Do you have any reference standard for such nomenclature? Then you need me talk about escrow, why? The president is more informed on this than you. He has all the apparatus for knowing the truth than you. Importantly, the past regimes cultivated a good number of thieves. Now, where or which to start with cannot be dictated by your opinion.

Tulia kama baba, mama, kaka, dada, mjomba atakumbwa kwa miaka 5 hii, vumilia na uwashauri kutafuta kazi halali. waambie pesa haipatikani kwa ujanja, it's performance.
 
Sasa mkuu nikuulize swali:
Was Kikwete a failure?
Was Mkapa a failure?
Was Mwinyi a failure?
Was Nyerere a failure?

What metric do you use (ni kigezo gani unachotumia) to measure success or failure. The guy has just completed 20% of his first presidential term and you already call him a failure? I remember you guys were calling him a failure within a month of taking office. Please Sir, list for us the metrics you use to measure failure of our leaders.

I am trying to stay with the English language because this is an English only forum. However, I will whip out my native Swahili from time to time.

Wewe mkuu umenisikitisha sana. Hati "Wazungu huwa hawarembi". My God. Hivi umejisikiliza ulichokiandika. Tuko karne ya 21 na bado we are kissing white-man behinds. Pitiful. Kumbe hii ndio sababu ya upinzani kila mara kukimbilia mataifa ya ulaya na marekani kukitokea mtafaruku hata kidogo hapa nchini?

Kwa kweli sisi bado tunatawalia na wazungu kifikra, na hicho kinanisikitisha sana.

Ya-rabi, tutakuja jitawala lini sisi maskini?
Kifyatu unatumia nguv nyingi kumuelewesha mtu aliyeamua kutoelewa. Acha nao,maendeleo ya serikal ya Magufuli ndo yatakua na majibu sahihi.
 
Hakuna kitu kipya! Hii makala ikitafsiriwa haina maana yoyote zaidi kile kilichojadiliwa siku za nyuma.

Na kama ni kweli aliyeandika ni profesa kutoka Uingereza wala haishangazi!

Kwa sababu waingereza wengi ni watu wajinga wajinga tu wanaojaribu kutumia ushawishi wao kwa mataifa waliyoyatawala kipindi cha ukoloni!

Mfano mzuri angalia sampuli ya viongozi wao ambao wanawakilisha jamii iliyowachagua.

Kama kiongozi aliyekuwa meya wa jiji la London na amefanikiwa kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uingereza. Lakini bado hafahamu kuwa Afrika ni bara, yeye anaamini kuwa Afrika ni nchi!

Kama mambo madogo wameshindwa kuyatambua, wataweza kuyatambua mambo yanayoendelea Tanzania hadi kufananisha na mataifa mengine ya kiafrika?

Hii inatoa taswira mbaya kwa waingereza na viongozi wao jinsi wanavyoichukulia Afrika hususani kwenye mambo ya uongozi. Wao wanaamini Afrika na Tanzania kwa ujumla inahitaji muongozo kutoka kwao ili ijitawale. Hilo suala wasahau..

VIPI KUHUSU MTU ANAYEJIITA ANA-Phd na NI RAIS wa nchi alafu anajua kuwa SADAMU HUSSEIN ni rais wa KUWAIT or LIBYA???
 
Nahisi tuko levels tofauti za ufahamu. Yaani corruption ya bandarini, kwenye containers elfu kadhaa na meli zaidi ya 60 kutoweka wewe unaita ni petty crooks! Do you have any reference standard for such nomenclature? Then you need me talk about escrow, why? The president is more informed on this than you. He has all the apparatus for knowing the truth than you. Importantly, the past regimes cultivated a good number of thieves. Now, where or which to start with cannot be dictated by your opinion.

Tulia kama baba, mama, kaka, dada, mjomba atakumbwa kwa miaka 5 hii, vumilia na uwashauri kutafuta kazi halali. waambie pesa haipatikani kwa ujanja, it's performance.
Labda mwenzangu ni genius na wengine tuliishia darasa la saba. Ok, ame-tackle corruption ya bandarini, many kudos for that. Lakini mbona corrpution ya BOT, Escrow, Tanesco/IPTL haigusi?

Hiyo haiusiani na dictates ya my opinion, but by the fact that he does not want to bite the hand that feeds him. Publicity stunts are one thing, but real fundamental change is quite another.
 
Back
Top Bottom