The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Wao kwao kufata demokrasia basi ndo maendeleo? Vilaza kweli hawa, Libya iliyojengwa na Muhamar Gaddafi na ikawa na maendeleo ya kutisha iliwahi kuwa na demokrasia wapi?

Walikuja hivi hivi na mbwembwe zao kuhusu demokrasia mpaka wakamuua mzee wa watu kwa kisingizio cha demokrasia. Hivi leo ilivyo Libya ndo maendeleo ya demokrasia hayo? Hivi unawezaje ukalinganisha Libya ya enzi hizo na leo kimaendeleo?

Wazungu na nyinyi wenzetu wazungu mnaoishi Afrika huku mkiwa na weusi kama wetu acheni upumbafu wenu, Waafrika wala shida yetu si huyo mdudu demoghasia. Waafrika shida yetu ni usimamizi mzuri wa rasirimali zetu kama anavyofanya Magufuli pamoja na kupata uhakika wa elimu bora, maji safi, usafiri wa uhakika na matibabu bora. Na haya kuyapata si lazima kuwe na mdudu demokrasia, hawa wawili waliweza ( Nyerere & Gaddafi ) kwasababu ya uwezo wao na Gaddafi kama si Wazungu kumuua basi yule jamaa angewasotesha sana.

Tunachokitaka waafrika ni kuachana na fikra potofu za wazungu.
 
 
Majiran wanajaribu kujiposition kama A powerfully house in the region ....muda umewatenga its our turn and JPM is the man driving the wagon
 
As if hii nchi yao. Ni lini na wapi wazungu wakafurahi eti nchi za Afrika kuendelea na kujitegemea? Hakuna watu wanafiki kama hawa wazungu.
Wakisimama wanakusifia lakini wakiwa pekee yao wanajisifia kwa kukupoteza ili usije kuwa mshindani wao

We must look back to the history. A cat has never been in friendship with a rat. The same applies to whites Vs Africa as far as development is concerned.
 
democracy sio cocacola tufanane dunia nzima-Mwalimu Nyerere..
 
Tanzania tuna vipaumbele vyetu na sisi ndio tutakaosema kama Rais atafeli ama la! Hao mabwana zenu ambao kila siku mnawakumbatia subirini utawala wa UKAWA ndipo muwape hicho wanachohitaji.
Mkuu una point sn tatzo unaongezea ushabiki. Apo ndipo unapoharbu .
So far Mhe yupo vzur sn.
Democracy without fairness in national cake is nothng..
Rather thn complaining the status of democracy let him first break ths corruptd sytm and brng fairness and satisfactory livinghood.
 
Magufuli is a country bumpkin
One big head shaped like a pumpkin
A vagabond with no tutorial
Is sure to fall after the euphoria
He's got a code stricter than Hammurabi
A God complex make some scream Ya'Rabi
Split second rulings, from the podium
With a bent that's tense and Draconian
John is the name of a firebrand
Can't sing harmony in a choir or brand
Pombe, that's liquor, it takes your senses
Wonder why this guy is so dense with all the false pretenses
Magufuli, that's locks, he will lock down the country
Wreck the economy and destroy the party
I could say more but I sense the censors
Are gonna be all over me like some eighties breakdancers
 
Just like any other blah blah and we are used to it. But a point to note, our President will not back down.
 
Indeed, the article provides a thought out, balanced and incisive analysis. Magufuli's strategy is typically populist. And ad hoc measures have always failed to deliver sustainable results. For istance, Magufuli has proved to be a non-starter in his "endeavour to fight corruption" because, from the outset, he has failed to hit the nail on the head. He should by now have sent bills to the parliament to amend the legislations for both PCCB and Ethics Commission in order to give these institutions more autonomy in handling corruption and abuse of power cases. As President Obama once said, "Africa needs strong institutions and not strong rulers", Magufuli should note that it is functional governance that counts.
 
Wa
Mwandishi analeta manifongo..hata Gaddafi walimponda sana..wamagharibu hawataki waafrika tuamke.. Viva maguful chapa kazi baba
Wakenya tumewazoea. Mara watuite wavivu wakati tunawalisha mahindi yetu. Tanzania itajengwa na watanzania na haituhitaji msaada. Wao kila siku wanatafuta jinsi ya kuhamia Tz, kutafuta kazi, kutafuta ardhi na sasa kuoa mabinti wa Tz ili waweze kuaccess priviledge za mtanzania.. Lkn ni watz wangapi wanatamani kuhamia Kenya. Waache propaganda zao zenye wivu.
 
poeni sana bavicha maana akili zenu zimeshikiliwa kuona tanzania inaharibikiwa,na ndiyo furaha yenu,kama vile nyie ni sio watanzania.
wakenya bado bomba la mafuta linawauma ndio maana wameamua kuja na makala za ku fail kwa Magufuli,na nyie mnapiga makofi tu kama mazuzu.
 
Kupoteza umaarufu na uaminifu chini ya mwaka mmoja katika kipindi cha miaka mitano uliyopewa ni aibu sana .
 
Mkuu naitaj kujfunza hii lugha. Nmejpma nmegundua kiingereza changu n cha Kindergaten.
 


Samahani we kiingereza unafahamu?
Do you understand English?


Wew
 

Hata wewe unalilia demokrasia, ila tu hujui maana ya demokrasia ni nini.
 
Tanzania is less developed than Kenya meaning there are more opportunities that are open specifically to those who come from developed world because they have resources to exploit them.

Kwa hiyo wakenya wanaona fursa ambazo sis hatuoni

Tanza
 
All thèse are allerts to our goverment to put proper plans and to adhère to national budget and principles of good leadership. This country will never develop by following one person thoughts and principles...as a country we should have mission and vission through which all institutions should direct its goals into...if everytime we come with new plans to be implemented its hard to embody other parties into its accomplishment.
By the way critics are very important especial for people who rank themselves as genious who knows everything
 
 
Huyo mzungu aliyendika kwenye gazeti la Kenya anaweza kueleza Singapore ilianzaje?
Ni udhaifu wa hali ya juu kutokujadili hoja. Mwandishi ametoa hoja, ameandika yaliyo mazuri na mabaya na uwezekano wa mabaya zaidi kutokea mbeleni.

Wanaompinga, hakuna hata mmoja aliyempinga mwandishi kwa hoja. Haya ni mapungufu makubwa. Je, ina maana katika wote wanaotetea uongozi wa Rais wetu, hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja ili sisi wote tuweze kupima uzito wa hoja?

Sidhani kama kuna mtanzania anayefurahia JPM ashindwe kutekeleza matarajio yake lakini itakuwa ni ujinga wa hali ya juu kama kuna viashiria vya kutofanikiwa halafu tukaendelea kushangilia.

Mimi binafsi nampongeza Mh. Rahisi kwa kusimamia nidhamu serikalini katika utendaji kazi na katika matumizi ya fedha. Lakini sishawishiki kuwa tupo kwenye njia sahihi katika sera, mipango na mbinu za kujenga uchumi. Tunaweza kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha lakini kama nidhamu hiyo itakuwa katika uchumi uliosinyaa, hatutaona nafuu yoyote. Kinachofanyika sasa ni kama familia iliyokuwa inaingiza sh 3,000 kwa siku lakini Baba alikuwa anachukua sh 1,000 kwenda kunywa pombe ya kienyeji. Sasa baba amedhibitiwa, lakini uzalishaji wa familia umeshuka hadi sh 1,500 kwa siku. Pamoja na kumdhibiti Baba aliyekuwa anachukua 33% ya mapato ya familia kupeleka kilabuni, familia imekuwa na maisha duni zaidi maana sasa badala ya sh 2,000, inatumia sh 1,500 tu.

Sasa tunahitaji mipango na mbinu madhubuti za kuongeza mapato kuliko kuendelea kufurahia mgawanyo wa umaskini.
 
Halafu mawakala wao ambao wapo hapa Tanzania kwa maana ya wazawa wa nchi hii, na wao wanaingia wazima wazima kwenye mtego wa mabepari hawa.
Hakuna nchi ambayo inaweza kujiendea kiholela tu kama gari bovu halafu ikafika mbali kimaendeleo. Tusidanganyane kwa lugha za uhuru wa demokrasia, uhuru huo unafaida gani kama tunashindwa kutumia rasilimali akili kwa faida ya nchi hii?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…