The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Hatufurahii. Tunajitanabaisha na wanaosema ukweli sio wanaosifia wakati tuendako siko. Huwezi nunua ndege 120bn cash wakati hutoi mkopo wa kutosha kwa wanafunzi wa chuo.

Hivyo ni vipaumbele matope.
anafanya vibaya.

ila anaombewa afanye vibaya zaidi.
 
Tanzania tuna vipaumbele vyetu na sisi ndio tutakaosema kama Rais atafeli ama la! Hao mabwana zenu ambao kila siku mnawakumbatia subirini utawala wa UKAWA ndipo muwape hicho wanachohitaji.
Mikopo ya sh.350 kwa siku kwa vijana wa elimu ya juu ndio kipaumbele?
 
Wakenya watasubiri saana. Kwakua Magufuli kawa outsmart kwenye Bomna la mafuta na Reli ya kuelekea Rwanda basi kila siku ni vilio!?
Don't worry Kenyan The Best is yet to come, Magufuli ana mapungufu kama Binadamu yeyote na anastrengh zake tena nyingi. Na mojawapo ni kutokua kibaraka wa Wakenya.
 
Na wewe ndio nyumbu kweli kweli eti Tanzania inaelekea uchumi wa kati.
 
Ameguswa asiyeguswa ngoja wenyewe waje huyu mwandishi lazima aipate kwa kweli!
 
Wewe rudi shule! uko chini sana! nilichoandika ulikiielewa? Kama lugha inagoma uliza. Unajua maana ya rule of law? Unadhani hiyo inasimamiwa na Rais peke yake? Kwa mazingira ya TZ ktk awamu iliyopita, legal structures zilikuwa zimesimama wapi?

Uwe analytical badala ya ku- criticize wanaokuzidi ufahamu. Jamani hiyo english yako sasa, dah!
 
How about other dictatorships that do not measure up to Singapore? You can't make the exception, the rule.
When you dictate, that ain't be dictatorship! Every world leader must have power to veto decisions. That is not dictatorship. Our president has power to hire and fire. Eti akimfukuza au kumsimamisha mtu anayedhaniwa kudokowa pesa za wahanga wa tetemeko, vimtu fulani vinaguswa na kudai eti dictator. Nonsense!
 
Kama maelezo haya yangetolewa na mtanzania tungesema Bavicha, kama angejitambulisha kuwa ni mwanasisiem tungesema ni CCM negative! Lets avoid subjectivity! No matter post au maelezo haya yameandikwa na Mkenya au Mtanzania, kinachotakiwa ni critical analysis whether it is true or not!
 
Cheesman had a point in that article. I agree with most of the things he wrote. Populism is currently eating this government inside out. You can read it here, for those who need a credible source.
 

Taahira Ni wewe unayeshindana Na uhalisia, Kama ulizoea vya kunyonga, kwa utawala huu havipo!
Usiyempenda ndio rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jinyee,jikojolee, hutobadili hilo!
Ukiona huwezi kasi ya utawala huu, Hama nchi!
 

Taahira Ni wewe unayeshindana Na uhalisia, Kama ulizoea vya kunyonga, kwa utawala huu havipo!
Usiyempenda ndio rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jinyee,jikojolee, hutobadili hilo!
Ukiona huwezi kasi ya utawala huu, Hama nchi!
 
Hata kusoma
Hata kusoma sisomi hawa watu wana wivu wa kike,hata siku moja hawataipenda TZ
 
Ndiyo tatizo lako taahira na ufinyu wako wa akili kila mtu anayemsemea hovyo fisadi na dikteta uchwara basi naye ni fisadi.

Fungua akili yako uone jinsi nchi inavyoenda mrama kutokana na utendaji wa hovyo wa huyu mkurupukaji wa mwendo kasi anayedhani atafanikiwa kuendesha nchi kwa kuikanyaga katiba ya nchi, kutotaka ushauri, kudharau sheria na taratibu za manunuzi ya Serikali na kutaka kutumia style ya uongozi ya one man show.

Butiku, Warioba na Mwinyi hawakukosea ila taahira wewe Buku 7 zako lazima uzipate ili usilale njaa. Acha kudumaza akili yako kwa kuimba nyimbo kama kasuku kumpigia debe huyu dikteta uchwara aliyeshindwa kuiongoza nchi.

Taahira Ni wewe unayeshindana Na uhalisia, Kama ulizoea vya kunyonga, kwa utawala huu havipo!
Usiyempenda ndio rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jinyee,jikojolee, hutobadili hilo!
Ukiona huwezi kasi ya utawala huu, Hama nchi!
 
Ni afadhali ukaandika kwa Kiswahili. Hautapungukiwa kitu.
 

Simpigii debe ila naongea ukweli, Na labda nikupe tu taarifa silipwi Na mtu yeyote Na wala Mimi si mwanachama wa chama chochote, naongea kile ninachoona Ni ukweli!
Kwa utaahira nadhani wewe Ni chimbuko hasa, watu gani msio Na jema? Hata angewalamba miguu Na kuwaogesha bado mngetafuta namna ya kumkosoa! Narudia tena, JPM ana mapungufu yake lakini isiwe sababu ya kuponda kila anachofanya!
Kwa unachoandika tu tayari nimegundua naongea Na mtu wa aina gani, taahira Ni wewe unayesubiri ufanyiwe kila kitu, umeifanyia nini nchi yako hadi sasa? Au Unajua kula Na kunya tu? Retard!
 
He had a point.!! Can you analyse and critically evaluate ideas, arguments and points in this post?

You're just encouraging them to do more trolling. You're again stooping on their level of accusations and generalisations, but nothing so important!
Accusations? He cited the recent conducted opinion poll by Twaweza on several matters about the president.
He is generally loved my most of the people in Tanzania and the world at large as the writer noted in most part of the article.
The main question here is on the leadership style. Is it sustainable? Or will just create modernized loopholes and perhaps resulting to a new form of plundering and looting public resources? Are the respective institutions stronger? Is the one man show a kind of leadership we need?
 
There are two articles written by the same person but published in two different news outlets.

The Content is the same. Have you even tried to click it for God's sake? Posting blah! blah! Is the only thing you can.
 
naona profesa kaamua kumchana makufuri live kwa kuwa haogopi kupelekwa mabwepande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…