The dark side of business

The dark side of business

Siku zote utajiri wa kiroho, kichawi, kishetani na kishirikina Husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya.

Kama kuna utajiri wa kishetani kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi watu kama kina Mo Dewj, Bakhressa, Elon musk, Bill gates, warren Buffet, Jeff Bezos na matajiri wengine wakubwa.

Au huyo shetani na yeye pesa zake ni za kuunga unga?
Unaposikia huko ulaya na Marekani wanazungumza kuhusu mtu kuuza nafsi yake ili kupata mafanikio na fame huwa unaelewa nini ?
 
Unaposikia huko ulaya na Marekani wanazungumza kuhusu mtu kuuza nafsi yake ili kupata mafanikio na fame huwa unaelewa nini ?
Kusikia unaweza kusikia hata uongo.

Sasa utathibitisha vipi hicho ulicho kisikia kina ukweli?

Hakuna kiumbe kimekaa mahali kinauziwa nafsi, Halafu kinatoa mafanikio.

Hao wanao daiwa kuuza nafsi, Ni wavivu wachache wasiotaka kuhustle wenyewe wana enda kwa Ma Godfather na ma sponsor wakawape mafanikio.

That's why wanawekewa masharti makali ambayo wengi ndio mnadai kwamba eti ni shetani. Kumbe ni binadamu tu.
 
Kusikia unaweza kusikia hata uongo.

Sasa utathibitisha vipi hicho ulicho kisikia kina ukweli?

Hakuna kiumbe kimekaa mahali kinauziwa nafsi, Halafu kinatoa mafanikio.
Na wewe unathibitisha vp kwamba hicho kinachosemwa ni uongo?,Kama huna uhakika na kitu it's better to stay in the middle and keep learning
 
Back
Top Bottom