The dark side of business

The dark side of business

Dark side ipo...kwa waaminio hayo...kwa jamii na mataifa yote, kama ilivyo kwa light side. Wengine humu ni waumini sana wa dark side...ila wanaipinga haipo ili tu kuficha siri (uchafu). Duniani njia ni mbili tu either kwa Mungu (Muumba wa vyote) au shetani (baba wa uovu)
Natamani ningekupa like mbili mbili, umeongea kwa kifupi ila ni ukweli mtupu
 
Jamii ya Kiafrica inakosa logic katika kujadili mada mbalimbali, na hili limekuwa tatizo la muda mrefu sana.

Yaani kwasababu wewe hujapitia kitu fulani au imani yako haikubaliani nayo basi kitu pekee ni kupinga, kwa style hiyo ujinga ni ngumu kumuisha mtu.

Kikija kitu kipokee jifunze, linganisha na kile ambacho ulikuwa unakijua kisha amua kukibeba ama kukiacha mezani, kwasababu kile ambacho wewe hukiamini na hakijawahi kukutokea kuna wenzako kimewatokea.

Wewe pekee huwezi kuexperience vitu vyote duniani hapa, sikiliza na uheshimu ya wengine pia.
 
Inaendelea
Ilipoishia..............
Baada ya kutoka lango la bahari,
tulirudi kwenye gari fasta,hatukuwa na muda wa kupoteza.....
Mzee ngurumo akaniambia bado issue moja tunaenda kuimalizia usiogope huu ndio uanaume......

...........ilikuwa inakimbilia saa saba usiku,mzee ngurumo akamwambia dereva kimbiza gari tumebakiwa na nusu saa tu...........

sasa tuendelee

Dereva alikimbiza gari na hatimaye tukafika eneo la tukio,baada ya kupark,tukashuka,hilo eneo lilikuwa na giza,hakuna nyumba wala hakuna mtu anapita.
Ngurumo:akiwa ameshika begi mkononi,akamwambia dereva wewe baki hapa,tusubiri...akanigeukia akaniambia kijana usiogope,akafungua begi akatoa nguo nyeusi,akaniambia chukua hiyo uvae,ile nguo ilikua kama kanzu nyeusi,nikaivaa juu ya nguo zangu na yeye pia akavaa kanzu yake,hizi nguo zina funika mpk kichwa na zilikuwa nzito Kama ovalori,kama ulishawahi kuiona ile movie ya kanumba''devil kingdom",Kuna scene jamaa wamevaa maguo flani hv meusi,basi ndio tulifanania hivyo.

Ndani ya msitu mnene
Baada kumaliza kuvaa nikambeba yule njiwa na safari ya kuingia ndani ya msitu ikaanza,hapo inakimbilia saa nane za usiku.
Ngurumo akaanza kuniongelesha
Ngurumo:suala lako limekuwa na uzito flani sijui kwanini?lakini kila kitu kitakaa sawa Mimi ndio ngurumo..
Hapo Mimi niko kimya tu namsikiliza.
Ngurumo:0ngeza kasi kijana,saa nane inatakiwa tuwe tumefika..
Mm:kwani tunaelekea wapi?
Hakunijibu chochote ila baada ya muda kidogo...tukawa tumeshafika
Tulitokea kwenye eneo la makaburi,mzee ngurumo alitafuta kaburi mojawapo akaniambia njoo hapa juu ya kaburi,hatuna muda wa kupoteza, akaniambia,kinachokwenda kutokea naomba chonde chonde usimwambie mtu na uwe makini kusikiliza maelekezo nitakayo kupa,ukifanya kosa hata dogo utakwenda na maji kijana,uwe makini(alisisitiza mzee ngurumo)
tukapiga magoti then akaniambia mshike vizuri huyo njiwa,nilimshikilia kwa mikono miwili nikiwa nimepiga magoti pale juu ya kaburi,nikaanza kusikia ndani ya tumbo la yule njiwa Kuna Kama kitu kinatembea...ghafla yule njiwa alianza kuongea Kama binadamu....(mzee ngurumo akaniambia usiogope)so nilijikaza lkn mwili ulitetemeka,mikono ilikufa ganzi.
Yule njiwa alianza kucheka huku akiniita jina langu kwa kurudia rudia...
Ngurumo:anavyokuita itika,sema naam nakusikia
Njiwa:akaniita tena.
Mm:naam nakusikia
Njiwa:wewe ni mtu mkubwa Sana ndio maana vita yako ni kubwa lakini usijali mimi nitakusaidia(akaendelea kucheka)
Ngurumo:mwambie akusaidie
Mm:naomba unisaidie
Njiwa:nitakusaidia,nitakupa utajiri mwingi sana na ulinzi mkubwa,hakuna mtu ataweza kukusogelea...
Mm:nahitaji ulinzi na sio utajiri
(Nikawa namnong'oneza mzee ngurumo)
utapewa utajiri na ulinzi ni lazima ukubali vyote(alijibu ngurumo kwa ukali)..
Basi nikaona isiwe ligi nikakubali yaishe.....

Kwanini nilikuwa nakataa utajiri
nilikuwa najua nina uwezo wa kupambana na kutoboa bila ndumba na lengo langu lilikuwa ni kutengeneza utajiri utakaodumu vizazi na vizazi,nilijua mali za giza hua hazidumu,ukifa zinapukutika,so nikawa na defend point yangu"sitaki utajiri nataka ulinzi"but a devil was smarter than me,alinibana niukubali na utajiri wake...

Turudi kwa yule njiwa
Njiwa aliendelea kuongea
"Nitakufanya kuwa mtu mkubwa sana hapa Tanzania na utajiri wako utakuwa Kama wa...akataja matajiri wawili wa hapa bongo,yule njiwa alimalizia kwa kunitaka nimpe ng'ombe wawili,ili shughuli ya kunisaidia ianze mara moja...

Ngurumo:unao uwezo wa kutoa ng'ombe wawili?
Mm:ndio
Ngurumo:utawatoa lini
Mm:naomba mnipe wiki mbili
Ngurumo:wiki mbili ni nyingi,tunakupa wiki moja

Tulipomaliza maongezi,tulimchinja yule njiwa na kumwacha hukohuko makubiri,then Mimi na mzee ngurumo tukaondoka.....

Baada siku mbili,mzee ngurumo alinipandia hewani
Baada ya salamu mazungumzo yaliendelea
Ngurumo:hivi kijana hao ng'ombe unajua unawatoa vp
Mm:si naenda kuwanunua then nawaletea Kama nilivyofanya kwa yule njiwa?
Ngurumo:hapana,hao ng'ombe tunaenda kuwanunua kisha unakodi gari ya kuwabeba,njiani itatokea ajali,gari itapinduka na wale ng'ombe wakufa,tutatuma viumbe sita,watatu wa kike(kwa ajili ya mvuto) na watatu wa kiume(kwa ajili ya ulinzi) hao ndio watasababisha ajali na wale ng'ombe watanyonywa damu na hao viumbe na baada ya tukio hilo wale viumbe watakuwa ni mali yako,watakufata kila mahali na utawatuma popote unapotaka.............
****************************
Je hao viumbe ni akina nani? na je nitafanikiwa kuwatoa hao ng'ombe wawili........I will be back
 
Pameanza kuchangamka
 
Sawa.
 
DAH INASISIMUA KINOMA 🫨[emoji89][emoji1782][emoji83][emoji84]
 
Mwezi wa 6 na wa 7 mwishoni nilitengeneza faida million 32 kupitia biashara zangu. Ila mwezi wa 11 nikapata hasara million 18.5 na Tar 1 December Hiace yangu imeanguka ila haijaua wala kuumiza mtu. Bila shaka sina ulinzi wa kiroho.
 
Attachments

  • IMG-20241201-WA0003.jpg
    IMG-20241201-WA0003.jpg
    115.9 KB · Views: 13
  • IMG-20241201-WA0004.jpg
    IMG-20241201-WA0004.jpg
    124.9 KB · Views: 10
Nakubali mkuu unaweza fungua biashara, siku za mwanzon mwanzon mambo yakaenda fresh wateja wanajaa mzigo unauza unaisha faida inaongezeka mtaji unauona unakua kabisa mala ghafla mapicha picha yanaanza wateja wanakata mzigo unadoda unashinda imesinzia dukani hatimae una give up.... Aisee nguvu hasi kwenye biashara zipo aisee hata mim nilikuwa siamini haya mambo mpaka pale nilipopakana na mnyantuzu mmoja na tukawa tunafanya biashara Moja... Aisee Hawa watu washenzi sanaa🤣
Hakuna watu washirikina kama Wanyantuzu wa Baridi na Simiyu,Wasukuma (wote),Waha na Wakurya...weka mbali na watoto!
 
Ndugu acha kabisa imagine wateja wanakuja kwako halafu duka hawalioni yani ukija na haraka haraka zako kwamba ngoja niende kwa flani nikapate huduma unakujikuta umedumbukia kwa jamaa. Yan kwake pamechangamka daily ww kwako pamesinnzia Yan kama unauza takataka yeye ndio anauza mali
 
Back
Top Bottom