Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Deal hapa ni kwenda kuongea na Nchimbi atupe kama billion tatu ya chama baada ya miaka miwili tuajiri vijana kama mia, tulipe deni lao kwa interest ya 10% na biashara ni mali ya CCM 70% on profit.Sawa Richmond
Nikifa watajijua, lakini katika uhai wangu hiyo biashara lazima itengeneze sio kwa hadithi hizi uchawi.
Huko kwenye siasa walogane tu.
Lakini hapa hakuna hadithi hii mada mimi hata sikufika nusu ya hadithi za mleta mada (na nilishamuomba msamaha sitaki kuingilia hadithi zake).
Otherwise I contribute on serious business topics not nonsense.
MaCCM yaache kuwapa hela wamanga tu hata sisi wabantu tunauwezo wa kuzalisha kwa hela zao.
Otherwise ain’t nobody interested na mtiririko wa imani za wachangiaji wa hii mada; wengine hiyo elimu hatuna (sipingi) whatever the arguments got this thread thus far.