The dark side of business

The dark side of business

Kama kuna utajiri wa kishetani kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote Uwazidi watu kama kina Mo Dewj, Aliko Dangote, Bakhressa, Elon musk, Bill gates, warren Buffet, Jeff Bezos n.k?

Unasema "utoto" halafu wewe unayedai kuna utajiri wa kishetani ni kapuku maskini choka mbaya!!

Mtumie huyo shetani akupe utajiri, kama ni rahisi hivyo.
Uliowataja unaamini ni walokole(upande wa Mungu)eti?..... mafanikio yoyote yana kiwango na hatua ya ulipo kulingana na unavyotumikia upande uliopo... Na haiwezekani kupanda ghafla... kuna hatua za kupitia...
 
Tanzania dream unabishana na watoto waliopanda magari ya njano wakapewa mtaji wakakuta kwao mambo safi hawajawahi kukutana na changamoto haya ya upande wa pili hawayajui mimi nimeshuhudia kwa macho yangu haya maji ya kunywa ya kununua dukani yanawaka moto mpaka chupa inaungua
 
One day utupe kisa cha maji kuwaka moto
 
Uliowataja unaamini ni walokole(upande wa Mungu)eti?..... mafanikio yoyote yana kiwango na hatua ya ulipo kulingana na unavyotumikia upande uliopo... Na haiwezekani kupanda ghafla... kuna hatua za kupitia...
Hatua katika mafanikio zipo ndio.

Lakini hakuna utajiri wa kishetani au kichawi.

Kama utajiri wa namna hii upo, kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa kama kina Mo Dewji?
 
Hao waganga wa kienyeji watumie huo uganga wao kwa nguvu zako zote wawazidi matajiri wakubwa kama kina Aliko Dangote, Bakhressa, Mo Dewji na wengineo.

Hao waganga ndio makapuku nambari moja maskini choka mbaya wanaishi kwenye vibanda vya udongo.

Halafu wajinga kama wewe unaamini mganga huyo ndio ataweza kukupatia utajiri!!!

Maisha si rahisi hivyo wewe!!
Ona haka kajinga,sasa ujue waganga wengi tu wanamiliki mijengo yao hapa town na huko vijijin wana mifugo na mashamba ya kutosha

Hzo nyumba za udongo ni sehemu ya kazi
 
Back
Top Bottom