The dark side of business

Sawa Richmond
Deal hapa ni kwenda kuongea na Nchimbi atupe kama billion tatu ya chama baada ya miaka miwili tuajiri vijana kama mia, tulipe deni lao kwa interest ya 10% na biashara ni mali ya CCM 70% on profit.

Nikifa watajijua, lakini katika uhai wangu hiyo biashara lazima itengeneze sio kwa hadithi hizi uchawi.

Huko kwenye siasa walogane tu.

Lakini hapa hakuna hadithi hii mada mimi hata sikufika nusu ya hadithi za mleta mada (na nilishamuomba msamaha sitaki kuingilia hadithi zake).

Otherwise I contribute on serious business topics not nonsense.

MaCCM yaache kuwapa hela wamanga tu hata sisi wabantu tunauwezo wa kuzalisha kwa hela zao.

Otherwise ain’t nobody interested na mtiririko wa imani za wachangiaji wa hii mada; wengine hiyo elimu hatuna (sipingi) whatever the arguments got this thread thus far.
 
Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri.

Utajiri hautolewi na Mungu wala Shetani.

Utajiri unapatikana kwa nguvu kazi na akili za binadamu.
Ibilisi Hayupo.
 
#uelewa wako uko chini sana.

_bas hakuna mwalimu mkweli. maana hao walimu ndo wanafundisha watu ambao baadae wanakua madaktari
Mada hapa ni kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi, kishirikina, nguvu za giza n.k

Sasa kama kuna utajiri wa namna hiyo kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote Uwazidi matajiri wakubwa?
Kina Bakhressa na Dangote Hawafiki level za kina Elon musk kwa sababu vyanzo vyao vya mapato bado havijafika level za Elon musk.

Inabidi waongeze juhudi zaidi za uzalishaji na vyanzo vyao vya mapato viongezeke zaidi kuzidi vile vya Elon musk. Hapo ndio wataweza kumzidi Elon musk.

Mbona Elon musk kawa tajiri namba moja duniani miaka ya hivi karibuni tu, Kwa kuwazidi matajiri wengine wakubwa walio kuwepo kabla yake kina Billgates.

Hata Bakhressa na Dangote wanaweza kumzidi Elon musk vilevile wakizalisha zaidi ya Elon musk.
matajiri wawili hawana tofaut na masikini wawili
Uongo.

Matajiri wawili wana tofautiana kiwango chao cha utajiri. Ndio maana kuna tajiri wa kwanza na wa mwisho.

Vivyo hivyo maskini kuna yule maskini choka mbaya na yule maskini mwenye unafuu.
 
Uzi mzuri ila mpangilio wa uandishi changamoto

Kwanini usiweke iyo miendelezo kwenye mtiririko mzuri kwa kuedit uzi kila unapotaka kuendelea?
Kuna mtu alishauri niweke muendelezo kwny ile post ya kwanza,sijajua na ww unamaanisha hivyo?ila wadau humu wakasema nitupie kila episode na post yake.
 
Infropreneur,naheshimu mchango wako na mtazamo wako,wewe una imani gani kati ya hizi, Muslim,judism, Hinduism, Sikhism, Buddhism,christianity au

Mimi ni Atheist. Atheism sio imani.

Atheism ni kutokuwa na imani ya Mungu au miungu.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya Mungu, Miungu, Shetani, Majini au mapepo.
 
Kil lakheri hapo kitandani
 
Huyu ndo mchawi anaechukua pesa kwenye droo za mbao,hampendag watu wapate mwanga
Pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…