The dark side of business

Uliowataja unaamini ni walokole(upande wa Mungu)eti?..... mafanikio yoyote yana kiwango na hatua ya ulipo kulingana na unavyotumikia upande uliopo... Na haiwezekani kupanda ghafla... kuna hatua za kupitia...
 
Tanzania dream unabishana na watoto waliopanda magari ya njano wakapewa mtaji wakakuta kwao mambo safi hawajawahi kukutana na changamoto haya ya upande wa pili hawayajui mimi nimeshuhudia kwa macho yangu haya maji ya kunywa ya kununua dukani yanawaka moto mpaka chupa inaungua
 
One day utupe kisa cha maji kuwaka moto
 
Uliowataja unaamini ni walokole(upande wa Mungu)eti?..... mafanikio yoyote yana kiwango na hatua ya ulipo kulingana na unavyotumikia upande uliopo... Na haiwezekani kupanda ghafla... kuna hatua za kupitia...
Hatua katika mafanikio zipo ndio.

Lakini hakuna utajiri wa kishetani au kichawi.

Kama utajiri wa namna hii upo, kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa kama kina Mo Dewji?
 
Ona haka kajinga,sasa ujue waganga wengi tu wanamiliki mijengo yao hapa town na huko vijijin wana mifugo na mashamba ya kutosha

Hzo nyumba za udongo ni sehemu ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…