The dark side of business

Unaweza kutoboa ila kuna level ukifika utakutana na vita ambayo bila spiritual backup hutoboi.
Shukran sana ila naswali jipya tena mkuu,je hvi hz spiritual bck up huwa zinatofatuana kwny matokeo au n sawa tu kwa mfan ukitumia za asil zetu kama vle mt anakupa dawa asil (itokanayo na mizz) ambyo utaitumia na ikakusaidia,. na hizi znazohusianishwa na majini? .kama iyo ulotmia wewe,.
 
Mkuu kama sijakuelewa vizuri utanisahihisha. Umesema hukuwahi kuajiriwa tangu ulipomaliza chuo, je, hii post yako ya chini ulikuwa unamaanisha nini?
 
Backup zipo mbili tu,dark side au light side,kwenye dark side wanasema"result justify the means" lakin kwenye light side tunasema " means Justify results"...yaani cha maana zaidi sio matokeo ila ni njia uliyoitumia kupata matokeo.

Kwa mfano kwenye mtihani.
Kuna aliyefaulu kwasababu ya bidii yake ya kusoma na Kuna aliyefaulu kwa kupiga chabo.....wote wamefaulu lkn njia walizotumia ni tofauti.
 
Story ikiisha,nitaweka kanuni saba za kiroho,ambazo hazifungamani na imani,dini wala mila yoyote,hizi ni natural laws ambazo M-ngu aliziweka ili kutusaidia ku run maisha,ila wajanja wachache(waganga,wanajimu,wachawi,washirikina na waabudu shetani wote) wanazitumia na kupata matokeo,harafu wanakuja kusema ni nguvu za giza ndio zimewasaidia,kumbe ni hzo 7 natural laws.
 
KUNA USEMI HUSEMA "A business that lacks spirituality leaves no legacy. More often than not, such a business is focused solely on chasing profits and ultimately loses its sou"
 
Kitu kimoja nilichojifunza adi muda huu ni kwamba,Haina budi kujifunza jinsi ulimwengu wa kiroho unavyofanya kazi.
Naona kama mojawapo ya viumbe tunaoishi katika huu ulimwengu hatuwezi kujitenga na nature,Everthing matter na kila kitu kinachotokea kwenye maisha yetu sio kwa bahat mbaya,we are concern.
Tuwe makini na ishara ambazo ulimwengu(nature)inajaribu kutuambia,hatuwezi kujitenga na nature.
 
samahani kama nitawakela nimekuuliza sababu nilikuwa na mahusiano na mke wa mtu nilikuwa sina ramani yoyote ya kuwa na pesa yaani nilikuwa masikini wakutupwa lakini cha kushagaza aliniambia mimi ni mtu mkubwa sana nitakuwa na pesa, nyumba kali na familia kubwa sana yametimia haya baada ya miaka 12. Alijuaje?
 
naomba kuuliza_hivyo vitabu anavyokupa mzee fabi vimeandikwa kwa lugha gani..?
 
Cha kwanza achana na mke wa mtu

Kama wewe ni mtu unaejielewa, muombe Mungu aondoe hio laana maana ulifanya makusudi.

Pia mtu yoyote anaweza kukutamkia chochote na kikawa kwa maana haukukaa ndani pesa zikaja ila uliingia mtaani ukazitafuta kwa hio shetani anakudanganya kwa kukuhakikisha uone mke wa mtu yule ndie kiunganishi cha mafanikio yako ili uendeelee kuwa nae kitakachofatia ni ufirwe, uulie au ukamatwe ugoni na kama hutakamatwa gundu litakukaa.

Unataka kujua gundu gani? Endeleea uone usubirie mziki wake
 
Huyo kuna mawili either alibahatisha au ni mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…