Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Tanzanian Dream niko shy mpaka leo baada ya kuzunguka sana na tanzania yetu liamua kurud shy na kutulia na familia
Mkuu mi nipo Shy hapa Majengo, we ulisoma shule gani?Shy land hv uko shy kweli au ni jina tu,mimi na fabi tulisoma huko shy,anyway kile kitabu alinionyesha tu mzee sudi na kiliandikwa kwa kihindi.