The dark side of business

The dark side of business

Mwamba, Kuna mtu aliwahi kuniambia ukiweza kufanya dili lolote la kiutafutaji, the best ni Lile unaloweza kulifanya in a confined environment... Akasema yeye ana shamba la mifugo ndani ya uzio wa ukuta, na amefanikiwa.
Logic yake anasema Macho ya watu Yana husda, na ndiyo mwanzo wa UCHAWI.
Ebu fafanua vZuri Ya mimi niwatangazie naanza biashara fulani ety mtu akiona husda ndo Sitafanikiwa how come??
 
Back
Top Bottom