The debate has ended. Who won? 🤔

The debate has ended. Who won? 🤔

Nani kashinda debate kati ya kamara na trump?

  • Total voters
    60

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
20240911_061431.jpg

Haya sasa piga kura hapo kati ya kamala na trump nani kashinda Mimi hapa naenda na Trump 100% he just COOKED kamala
 
Mzee wetu mbona kimya kingi hivyo, hasikiki kabisa siku hizi

Amerika kumwamini mwamke kwa madaraka makubwa kiasi hiki sidhani.
Ndio maana nakwambia labda mambo yaharibike sana.

USA Linapokuja swala la sekta nyeti za uongozi hasa Uraisi, Historia yenyewe inajieleza vizuri.

Hata Hillary Clinton alipigwa na kitu kizito kichwani..😄
 
Nawaoenda USA, huwa wapitishi yoyote mradi apite , tena akipita akiwa sivyo hawachelewi kumtoa iwe kwa heri ama kwa shari, ila kwa kamala haita kuwa mbali na kama ilivyokuwa kwa Hillary
 
Back
Top Bottom