The debate has ended. Who won? 🤔

The debate has ended. Who won? 🤔

Nani kashinda debate kati ya kamara na trump?


  • Total voters
    60
Trump is next president of united state no way...Wamarekani hawajawqhi mpa nchi mwanamke German walimpa Putin akamtumia vizuri leo kimeumana unafikiri cia watakubali hilo litokee kwao?
Wanawake wanaweza lakini kwa nchi kama USA ambayo ina maadui wengi kuliko nchi yoyote dunia, kumpa nchi mwanamke ni vigumu, Israel kipindi cha Golda Mier kwenye Yom Kipper war walichezea kichapo hata kama walishinda ile vita ila jeshi walilipa gharama kubwa sana , Israel walipata taarifa za kiintelijensia kubwa vikosi vya Egypt vinashambulia Israel muda wowote inatakiwa tuanze sisi kuwashambulia PM alikataa ombi hilo akasubiri ruhusa ya Kissinger GS wa USA it was to late
 
Mwanamke hawezi kuongoza nchi, Decision makers watapindua meza in case kamala akaongoza kwa kura.
 
Only Magreth Thucher na Angel Markel ndio wanawake walioweza kuongoza mataifa makubwa ulaya.
Marekabi hawapaswi kufanya majaribio kwa hawa kina mama wenye kuweka tabasamu muda wote kama Gaucho.
Harris ashinde debate au asishinde, Ttump ndio anapaswa kuongoza marekani baada ya madhaifu makubwa kufanywa na Joe Biden.
Trump for president.
 
Trump hawezi kushinda uchaguzi huu dude....

Kwenye Mdahalo Trump kaburuzwa na huyu bibie
Screenshot_20240911-191607.png

✍️Kwa mujibu wa CNN, Kabla ya Mdahalo Trump alikuwa anapewa ushindi wa 41% dhidi ya 39% Harris Kamala....

✍️Baada ya Mdahalo, Kura zimepigwa Kamala Harris kamfyatua mzee wa kazi kwa 45% dhidi ya 35% Trump....

##FACTS CHECKS baada ya Mdahalo zinazoonesha kuwa, Trump kadanganya mara 33 ktk issues mbalimbali walizoulizwa. Kamala Harris kadanganya mara 1....

##Trump ni mwongo mno na manipulator wa takwimu kama walivyo CCM hapa Tanzania na Rais wao Samia Suluhu Hassan...
 
Back
Top Bottom