Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kamala anaeleweka, kapata ushindi mwembamba. Trump ni muongo na hana sera yoyote ya maana. Ila kwa USA ilipofikia hakuna anaweza kuiokoa na mporomoko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika wewe umeangalia mdahalo na kuuelewa vizuri.Kamala anaeleweka, kapata ushindi mwembamba. Trump ni muongo na hana sera yoyote ya maana. Ila kwa USA ilipofikia hakuna anaweza kuiokoa na mporomoko.
🤣😁😁😁Dogo wahi shuleni.
Timu tatu ,chuma,mkojani na msoga!Kuna kila namna mambo yalisha haribika ila bado hio sana, au ndio mkakati unaendelea wa kutengeneza mambo ya haribike!
But mzee ni wa kucheza kwa tahadhari sana, kama paka anavyo cheza na panya baada ya kumkamata kabla ya kumla.
Ila uraisi tunampa trumpNampenda Kamala
Mwanamke hatakiwi kuwa hata mjumbe wa nyumba hamsini. Tunapingana na Mungu kumfanya mwanamke kiongoziTokea tulipo pigwa za uso hapa bongo sina imani na mwanamke kwenye uongozi, Trump kapiga kwenye mshono hapa View attachment 3092937
Trump is next president of united state no way...Wamarekani hawajawqhi mpa nchi mwanamke German walimpa Putin akamtumia vizuri leo kimeumana unafikiri cia watakubali hilo litokee kwao? NoView attachment 3092933
Haya sasa piga kura hapo kati ya kamala na trump nani kashinda Mimi hapa naenda na Trump 100% he just COOKED kamala
Kuna kaukweli ila wamejaribu na wanajifungiaMwanamke hatakiwi kuwa hata mjumbe wa nyumba hamsini. Tunapingana na Mungu kumfanya mwanamke kiongozi
Tatizo amesikilizia moyoni.Ungewasikiliza na kutafakari nina uhakika wa 100% kura yako ungempa Kamala Harris. Mwanamama amefanya vyema mnoo kwenye mdahalo.
Mzee wetu mbona kimya kingi hivyo, hasikiki kabisa siku hizi
Amerika kumwamini mwamke kwa madaraka makubwa kiasi hiki sidhani.
KivipiTrump kampiga Sana Harris
Mwanamke hatakiwi kuwa hata mjumbe wa nyumba hamsini. Tunapingana na Mungu kumfanya mwanamke kiongozi
Mbona huyo Mungu ndio kamfanya samia kuwa raisi wa nchi,Kuna kaukweli ila wamejaribu na wanajifungia
mwanaume ni mwanaume tuuView attachment 3092933
Haya sasa piga kura hapo kati ya kamala na trump nani kashinda Mimi hapa naenda na Trump 100% he just COOKED kamala
mungu WA wapii ndø maan tunauzwa☝️Mbona huyo Mungu ndio kamfanya samia kuwa raisi wa nchi,
Hakuna Mungu anayefanya watu wawe maraisi. Ni mitazamo na imani za watu tu.Mbona huyo Mungu ndio kamfanya samia kuwa raisi wa nchi,
Hakuna cha bahati, kama tumekubali kifo ni mipango ya Mungu na ndie aliemchukuwa magufuli basi tukubali kuwa Mungu huyu huyu ndie alipanga samia kuwa raisiHakuna Mungu anayefanya watu wawe maraisi. Ni mitazamo na imani za watu tu.
Samia yeye bahati ilimwangukia tu.
Na bahati huweza kumtokea yeyote.