The difference between meditation and hypnosis is very stark

Watanzania 80% hatujui kiingereza, sasa ukiweka mada kwa lugha hiyo ni kwamba unawanufaisha wale wanaojua ambao ni 20% . Nimeipenda tatizo lugha.

Naam mkuu uko sahihi nami naliona hilo,twamuomba mleta uzi kama kuna tafsiri yake katika lugha yetu ya taifa ni bora sana.
 
Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu?
 
Hahaaa kuna mgao wa EPA humu itakua wa kimyakimya. Na mie niunganishwe tafadhali japo simu sina nitaikuta humu jukwaani.
 
Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu?

Alie anzisha ndio kuweka namba ndio kufanya watu waanze kuweka namba bila hata ya kusoma uzi vizr
 
Kwahiyo mmeunganishwa huo uanachama baada ya kutoa hizo namba?? Ili kama vipi nami nifate nyuki ili niweze kula asali
 
Ah mi sijaungwa nishwa bana nadhani hiyo kitu hamna
 
Back
Top Bottom