The difference between the west and the Chinese societies in responding to racism acts

Hammaz leo ikitokea mauaji katika maandamano yanayoendelea US lazima watu watahoji aina yademokrasi nautendaji wao

Leo UCHINA kama wataandamana wakafa haitakua sawa ila watu watasema UCHINA hawana demokrasia ndio maana

Kabla yakutaka kuilinganisha UCHINA na US(WESTERN)mnatakiwa muangalie aina yamifumo inayotawala katika mataia husika kwanza

Katika mataifa ambayo hakuna DEMOKRASIA kama UCHINA unalalamikia kama watu hawaandamani kweli ?!

Halafu pia hua nalaumu sana kwamba licha yamfumo wao ambao wala sio wademokrasia mtu kama Missile of the Nation hua hajawahi kuongelea UCHINA katika nyanja nzurib

UCHINA Ipo vizuri kisiasa(kwamfumo wao) kijeshi kijamii mpaka KIUCHUMI kulikomataifa mengi ambayo yanafuata siasa zakidemokrasia ndani ya ULAYA pale Mpaka nje sasa jamaa haoni ?!

Kunamuda inatakiwa tuongelee uhalisia wamambo yalovyo kuliko kueka mahaba mbele napropaganda.
 
Waafrica tukae kwetu tujenge nchi zetu hamna asiefanana na sisi anaetupenda
 
Bwana Utam, nenda katembelee hata social media za wachina usome comments zao uone kama wanaguswa na ubaguzi dhidi ya mtu mweusi duniani.
Nimekwambia social media ya wachina, majority ya comments zao ni ubaguzi dhidi ya mtu mweusi.

Kama unahofu kuwa pengine hujui kichina, basi wewe tumia google Translator au direct translation ya websites kwenda kwenye kiingereza ujionee
 
Wala hio sio hofu yangu MKUU inawezekana kabisa kama jamaa wanaguswa nahayo mambo yanayoendelea ila kulingana na mfumo wakwao je wanaruhusiwa kukosoa kama wanavyoruhusiwa western na US

Wakatu mnalaumu mkumbuke yakwamba UCHINA kutokana namfumo wao hata kutoa maoni kwao imekua haba kiasi kwamba mtu anahisi kama atatoa maoni hasi dhidi yamfumo wautawala kesho yake anaikabidhi serikali ya Kikomunist

Inawezekana kabisa MKUU ukawa unamiss main point yangu since day one

Binafsi nimekua muumini wamfumo wa UCHINA kwasababu sio wanafiq wameamua kuwa wawazi lazma ufate nini tunataka kamaserikali(UCHINA)ila mataifa mnayoyapigania nakuyaunga mkono kama yakidemokrasia kuanzia wao mpaka walio warithisha wamekua wanafiq tu hawana lolote

US+NATO=hawa jamaa wamekua ama walikua mstari wambele sana kumuondoa gadafi kwakigezo cha DEMOKRASIA wakati huo huo wamekua mstari wambelebkuzipigania SAUDIA UAE BAHRAIN kuwapale zilipo sababu bila sapoti zao SAUDIA UAE BAHRAIN nawengine hawatadumu hata week madarakani ila wanakaa sababu yasapoti zao

Mwisho:-sijasema kama UCHINA sio wabaguzi ama hakuja ubaguzi ishu je wanauhuru wakuulalamikia UBAGUZI nchini kwao kwanamna yamfumo wao ulivyo maana kulalamika kunaweza kukawa sio shida ila shida ikaja baada yawewe kulalamika(naweza nikakuhakikishia uhuru wakusema ila siwezi kukuhakikishia uhuru baada yakusema ulolisema)

Missile of the Nation natamani unielewe MKUU
 
China kukosoa chochote, hata kutukana chochote ili mradi siyo chama cha kikomunisti na serikali yao vinavumiliwa, haviwi censored kivile!

Nimekupa mifano hai wewe bado unajiegemeza katika hoja ya kudai kuwa mfumo wao ndivyo ulivyo, hutaki kusoma hoja za msingi za kucounter argue sababu zenyewe za kutoandamana kuwaunga mkono blacks, hoja zenyewe ni hizi.

1. For the case of argument let us aasume kuwa Kama kuandamana hawawezi mbona hata Social media ya wachina haiko in supportive sana juu ya kupinga racism dhidi ya blacks?, Mbona kutukana blacks mitandaoni huko China isichukuliwe very seriously na serikali yao halafu eti kuside nao dhidi ya racism udhani kuwani against the law?. Ni kwamba hakuna societal will ya kukemea racism huko China.
 
Kwanza mkuu sijaupinga ubaguzi wa wachina dhidi ya blacks

Pili kama chama chakikomunist unahisi kinaubaguzi kwaweusi kama unavyodai hapo juu huhisi kama wakiandamana watakua tayar wanaenda kinyume nao ?!

Kwahio baada yahapo wategemee nini ?!....
 
Sijaandika popote katika mada hii hilo suala ulilolileta, infact nimeeleza jinsi Wizara ya mambo ya nje ya China ilivyotoa press release kulaani ubaguzi ndani ya Marekani, kwa hiyo kumbe Wachina wakiandamana au kuonyesha protest yoyote dhidi ya ubaguzi wa rangi watakuwa inline na serikali yao safari hii, sasa hapo serikali itawashugulikia kwa nini?

Hata hivyo ukiachilia tamko la serikali yao, matamko ya kiserikali mara nyingi huangalia geopolitics, kwa hiyo siyapi uzito sana katika ishu kama hii, ambacho sijakiona ni mwamko wa raia China kama raia tu wa kawaida kuonyesha kuguswa na vitendo vya ubaguzi dhidi ya blacks
 
Kwahio unaamini hakuna raia hata mmoja wa UCHINA ambae anawapenda Blacks ?!

Kwamaoni yako tu namtazamo wako unahisi WACHINA wote wabaguzi ?!...
 
Hiyo itakuwa generalization isiyofaa maana kuna waafrika wana mademu wachina, huwezi kusema kuwa hata hawa wadada wanawachukia weusi!

Point ya msingi ni A large number of the Chinese Society ni racist towards blacks, This is self evident na namna wamzungumziavyo mtu mweusi ndani ya social media zao, Kutolaani waziwazi matendo ya racism dhidi ya weusi duniani
 
Kwani unahisi wazungu wanaowachukia weusi nawanaowapenda wapi wengi MKUU ?!

ila hapa nlikua nataka uone kwanamna gani jamaa wanabanwa sababu kweli hata hao wachache basi kwanini wanashindwa kuandama nakutoa hisia zao ?!
 
Ubaguzi wa rangi nchini Marekani ni tone tu katika bahari ya ubaguzi
Racism is an in born sense of nationalism, superiority complex of a race against others, I don't wonder seeing Chinese are discriminating the black race ( people). This is because China is a nation of Chinese dominated territory with no any history of black race being part of China's foundation.

I think in the US, black race was supposed to be respected since then, black majority are the cornerstones of the present day powerful USA.

Any civilized society would be firm to condemn the ongoing racial classifications in the modern world, we must live for taking advantage in each other's presence.

But all in all we as black people in this world, we must agree that we are perhaps the less valued race under the sun.
 
Hiyo itakuwa generalization isiyofaa maana kuna waafrika wana mademu wachina, huwezi kusema kuwa hata hawa wadada wanawachukia weusi!

Point ya msingi ni A large number of the Chinese Society ni racist towards blacks, This is self evident na namna wamzungumziavyo mtu mweusi ndani ya social media zao, Kutolaani waziwazi matendo ya racism dhidi ya weusi duniani
Kwani unahisi wazungu wanaowachukia weusi nawanaowapenda wapi wengi MKUU ?!

ila hapa nlikua nataka uone kwanamna gani jamaa wanabanwa sababu kweli hata hao wachache basi kwanini wanashindwa kuandama nakutoa hisia zao dhidi yahao wanaobaguliwa ?!

Nikama vile kusema WACHINA wote wanapenda yanayowatokea waislam wa UIGHUR sababu hawaandamani kuwatetea...
 
Kwani unahisi wazungu wanaowachukia weusi nawanaowapenda wapi wengi MKUU ?!

ila hapa nlikua nataka uone kwanamna gani jamaa wanabanwa sababu kweli hata hao wachache basi kwanini wanashindwa kuandama nakutoa hisia zao ?!

Mtu kubanwa lakini bado ukaandamana mbele ya polisi hata kufikia hatua ya kupigwa mabomu ya machozi na polisi ni highest level ya kuamini kile unachoandamania!

Laiti tungewaona wakiandamana kisha tuone mapolisi wao wangewafanya nini!

By the way, serikali ya China iliyotoa tamko kulaani kifo cha Floyd na ubaguzi huko Marekani (Japo tamko lao lipo kigeopolitics zaidi) haiwezi kuadhibu raia wake mitaani kwa kuandamana kupinga racism hiyohiyo ambayo serikali hiyo hiyo imetoa taarifa kulaani.
Umewahi kuona wapi serikali duniani ikiadhibu raia wake kwa kuiunga mkono?

Sema tu jamii ya wachina haiko much concerned hadi waguswe kiasi cha kuonyesha solidarity na blacks
 
Kama unavyodai mama walitoa koz ya geo !?

Unajua UCHINA kwenye suala lakuandamana sijawaona wakipendelea sana hilo jambo

Ijapokua pia serikali yaopia hawakua namuitikio kama mambo mengine

Hata kulaani kwao walilaani sababu aliefanya nihasimu wao wakibiashra namengineyo tu.
 
I regret this nice topic might not attract many people as it should because it vividly exposes the racist disposition of the Chinese towards the black Africans.

Needless to say, racism is a sin that is of human nature as it can be traced to many generations back and it will definitely not go away.

Unfortunately the black people are the ones who have frequently been the subject of racism especially when they find themselves to be outside of their native continent.

Although the black people are being discriminated against in the west, the vice is worse in Asian countries China being no exception. The racist Chinese are not content to see the growing population of Africans rising in their country and are ready to do everything they can to stop it.

United States has a population of over 40 million African Americans the population that has been left to grow despite allegations of racism in that country and surely if this population could be in
China it's incomprehensible how the situation there could have been.

Lastly, as the trend is set to continue it's not bad to pinpoint the potential causes that trigger this vice one of which is the African continent's inability to properly govern herself a situation that has made the continent to be both technologically and development wise ever backward.
You nailed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chinese are hypocrites , they pretend to be our closest allies yet they treat us like animals.

We are the ones who buy majority of their fake goods, we have given them super contracts and neglected our very own companies , its time to deal with them squarely.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa asilimia fulani mimi nakubaliana na Missile of the Nation kwa sababu zifuatazo.

1. Ubaguzi dhidi ya wa-China covid-19 iliposhika hatamu wa-China walilalamika sana Ulimwenguni kwa kutumia serikali yao na vyombo vya habari vya kwao.

2. Serikali yao ilionyesha hili tatizo lipo na ilifanya juhudi ya kulizungumzia hili kimataifa kwa mapana.

Ubaguzi wa-China kwa watu weusi. China ilifanya haya:

1. Vyombo vyao vya habari walilipa mgongo suala.
2. Serikali yao ilikana kuwa wa-Afrika wanafanyiwa ubaguzi.
3. Kila aina ya clip iliyoonyesha ubaguzi dhidi ya watu weusi nchini China serikali na vyombo vya habari vya China walitumia propaganda ili kuzima hili suala.

• Vituo vya habari vya China vilitumika kupinga kwa kuonyesha kuhoji baadhi ya watu weusi waishio China kwa kuonyesha kwamba wanaishi vizuri, zinazotumika ni propaganda tu dhidi ya wa-China.

•Waliandaa vipindi vya kuonyesha wanatembelea makazi ya watu weusi na kuonyesha kuwa wanaishi bila bughudha ya ubaguzi wa rangi.

• Serikali ya China ilikana kwa nguvu kubwa ulimwenguni, mfano hapa Tanzania Mh. Zitto Zuberi Kabwe alitoa masikitiko yake kwa serikali ya China kutokana na ubaguzi wa rangi wanaoufanya kwa watu weusi. Kilichotokea ni kwamba Balozi ya China hapa Tanzania ilikana kabisa! Ilichokifanya ilikana kabisa na kumtuhumu Mh. Zitto kuwa anataka kuvunja mahusiano chanya yaliyopo baina ya China na Afrika.

• Serikali ya China ilikana kwa kusema Afrika kwa China ni ndugu tangu kale. Walitumia vyombo vya habari na kujificha kwenye kivuli cha uhusiano wa serikali ya Amerika na black Amerika.

Niishie hapa!

Kwa ufupi ni kuwa serikali ya China haikuonyesha kuwa kuna tatizo hilo na wala hawakuchukua hatua na ndiyo maana hawakukemea raia wao.
Haya sikusimuliwa bali nimeyashuhudia mwenyewe kwenye vyombo vya habari vya China! Kwa hasira nili unsubscribe Tv stations zao zote na movie zao mpaka sasa (Ilikuwa haipiti siku 3 au 2 natizama movie zao mpya).

Ijapokuwa mzungu naye ni mbaguzi na ana kasoro zake lakini raia wao miongoni wanaonyesha kuwa hawapendi ubaguzi na wapo tayari kumwambia mzungu mwenzao unachokifanya ni ubaguzi. Nilichogundua ni kuwa serikali ya China imewapunja raia wake ustaarabu wa kutangamana na jamiitofauti iliyo mbali na mzungu.
UMEFAFANUA VYEMA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa sana Bwana Utam
Tunawalalamikia sana Wachina na nchi nyingine za Asia pasipo kuangalia namna ya uongozi ulio kwao. Tunachokiona Magharibi kikiendelea kwa watu kuingia mitaani ni zao la demokrasia ambayo haipo kwenye nchi nyingi za Asia. China kwa mfano kuandamana si haki ya raia, lakini kwa nchi za Magharibi ni haki ya msingi itokanayo na hiyo demokrasia. Wakati Wachina wanabaguliwa (kipindi corona ipo kwao tu) nadhani wangetamani kupaza sauti zaidi ya kulalamika tu kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, lakini ni Mchina gani alithubutu!

Wachina mara kibao wameandamana mamilioni kwa mamilioni kupinga waliyofanyiwa na wajapani miaka 80 iliyopita, mbona hapo waliweza kuandamana?.

Hoja kuwa wachina huwa hawaandamani hiyo siyo kweli

Kuandamana wanaweza sana sema hawako Interested

Hapa chini hii ni picha wachina wakiandamana kulaani matendo ya zamani ya wajapani dhidi yao

images-2.jpeg
 
Back
Top Bottom