Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,139
- 842
Mbona hii kitu ishaelezwa juu na mdau mmoja, nikuulize Mkuu jamaa haijaeleweka alivyoeleza!? Kiufupi ni kuwa yaliyofanywa na Wajapan kwa Wachina yalifanya hadi Serikali ya Uchina kuyafumbia macho maandamano (ni very exceptional case). Serikali ya China si kama serikali unazozishihudia Magharibi mzee (China hata kupigana tu mtaani ni janga utakalojutia maishani, sembuse kuingia mtaani kwa makundi ya watu). By the way, hivi Africa ni nchi gani imeingia mtaani kuandamana, kuonesha tu kutoridhishwa na unyanyasaji wa mtu mweusi!?Wachina mara kibao wameandamana mamilioni kwa mamilioni kupinga waliyofanyiwa na wajapani miaka 80 iliyopita, mbona hapo waliweza kuandamana?.
Hoja kuwa wachina huwa hawaandamani hiyo siyo kweli
Kuandamana wanaweza sana sema hawako Interested
Hapa chini hii ni picha wachina wakiandamana kulaani matendo ya zamani ya wajapani dhidi yao
View attachment 1471834