Unaanza kujitetea kijana.
Halafu habari ya kula kinyesi ni ya familia moja ya Bukoba tena mdogo mtu kwa kushindwa kuvumilia kukaa muda mrefu bila kula ndio anaokota kinyesi cha mbuzi anakula mpk atapokuja kaka yao na chakula ndio wanakula.
Wala sio ukanda mzima.
Lakini the whole poorly Turkana watu wanakufa njaa mtu anakaa siku tatu kawaida hajala hadi mifugo inateketea maskini.
Kama mngekua mna production kubwa msingeweza kuwa na balaa njaa.
Embu tumia akili kijana.
Nyie mpo 40s millions halafu kuna wengine wanakufa njaa hiyo consumption inakuaje kubwa???!!!!
Embu acha utani bhana acha uzwazwa think before blabbering man.
Tz km tuna produce kdogo inamaana consumption isingetosheleza maaana tunakimbilia kuwa 60 millions kivp tu produce kdogo Halafu consumption iwe kuwa meeted??!!!!
Usikute ww ni kale kafala mwenzie na Egineer yule mkenya mwezio alosema kuwa Turkana wanakufa njaa kwasababu ugali ipo ndogo halafu mchele upo wa kutosha kisa wanapenda sana ugali.
Acha hzo najielewa bhana usinijaze fikra za kipuuzi.