The earth is flat and is not rotating


Seriously?!(politely &#128522😉 Hivi huioni hata hiyo picha ya satellite kama inaonesha dunia ni a sphere?....kama ni disc kwa nini huoni continents zote?.....alafu I think utakua umesahau principles za "physics" kama uliisoma advance....kama wewe upo ndani ya gari linalotembea (au tuseme juu yake) ukikimbia utabaki pale pale? Au urefu wa gari unaongezeka?

Au unajua kwa nini ukishuka kwenye gari linalotembea huwa unaanguka,or else na wewe ukimbie?..it's because tupo kwenye uniform motion...dunia haijawahi kusimama,ipo kwenye motion siku zote,na sisi na vitu vyote,ni kama abiria,japo tumekaa ila we are in motion..so the distance remains the same.UNLESS unasafiri nje ya dunia,ndio maana I think it takes a lot of power to travel to the moon,na huchukua masaa mengi zaidi.

Alafu,Ina maana na mwezi pia unazunguka au umesimama according to your theory?...kuhusu BIBLE...I will get back
 

Hiyo ndege ikitoka nje ya uzio wa dunia,(outer space) itaweza kufanya hicho unachokisema (soma yangu comment hapo juu) ikiwa katika anga la dunia,bado inavutwa na Gravity ya eneo lile lile...ni sawa uruke ruke juu ya gari linalotembea..labda liwe kasi sana au wewe uruke juu sana,otherwise utatua pale pale.
 
Kumbe ndio maana waliopinga mawazo ya "wengi" waliuwawa

Ukipinga jambo ambalo kuna kundi kubwa linaona liko "wazi" unaonekana kama hamnazo wakati unaweza kuwa sahihi vile vile

Kaazi kweli kweli!

Binafsi sipingi habari za kupinga mawazo ya wengi, kuna habari nyingi sana hapa napinga mawazo ya wengi. Tumeshajibizana sana kwenye hoja za uwepo wa mungu, kitu kinachoaminiwa na wengi ambacho mimi sikiamini.

Kwa hiyo mimi huwezi kusema napinga wanaopinga mawazo ya wengi.Mimi ni mmoja wao hao wanaopinga mawazo ya wengi katika masuala fulani.

Lakini kama vile ambavyo hutakiwi kupinga mawazo ya wachache kwa sababu ni ya wachache tu, hutakiwi kupinga mawazo ya wengi kwa sababu ni ya wengi tu. Guru alisema "ain't nothing worse than a rebel without a cause".

Hii habari ya kusema dunia ni duara na inazunguka jua pia ilikuwa wazo la wachache. Kina Galileo walifungwa na kutiwa upofu kwa kusema hivyo, walikuwa wchache. Kanisa lilifundisha kwamba dunia ndiyo katikati ya ulimwengu, ndiyo maana mungu akaumba kiumbe chake special, mwanadamu, na kumuweka katika dunia.

Ukisoma historia ya Galileo na kitabu chake "Dialogue Concerning the Two Chief World Systems" utaona hayo.

Galileo Galilei - Wikipedia, the free encyclopedia


Ditto Copernicus

Nicolaus Copernicus - Wikipedia, the free encyclopedia


Ukisoma historia ya Giordano Bruno, mtawa aliyesema kwamba hata nyota ni majua mengine tu yaliyo mbali na kukosana na mafundisho ya kanisa mapaka akachomwa moto, utaona kwamba alishakuwa katika ukweli mpaka akachomwa moto, wakati ukweli ulipokuwa haukubaliki

Giordano Bruno - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa hiyo huko unakokusema kwa watu kutotaka kusikia habari za wachache (ambao wanaweza kuwa kwenye kweli) kuhusu suala hili tushakuvuka miaka ya 1500s. Miaka mia tano ishapita sasa.

Kwa nini tunataka kurudi nyuma miaka mia tano?

Watu wanaopinga dunia kuwa duara na kuzunguka jua wamesoma angalau historia na kazi za Aristotle, Galileo, Bruno, Brahe na Copernicus on the subject?

Au kujivunia ujinga tu?
 


Mwezi upo Duniani pia (Sayari ya Dunia)
 

Kimsingi mimi sijapingana na wewe kwenye hoja kuwa kuna watu waliadhibiwa huko nyuma kwasababu ya kwenda kinyume na mawazo ya wengi

Ninachokisema hata sasa hali ni ile ile kwasababu zile zile lakini sasa watu wanashindwa kuwafanyia watu wanaopinga mawazo ya wengi kile ambacho watu wa kale walifanyiwa waliokuwa wanapinga mawazo ya wengi kwasababu ya kuwepo na sheria na serikali ambazo hazikubaliani na hayo

Lakini pia ukitazama wanaopinga mawazo ai dhana,yes ni dhana ya dunia kuwa duara leo ni wachache na wanaonekana kama wale wa wakati ule waliokuwa wanasema kuwa dunia ni duara na waliitwa wajinga kama unavywaita wajinga wanaosema dunia sio duara leo

Msuala haya mawili yote hayana uthibitisho lakini yana ushahidi tu kitu ambacho hakijatosha kabisa kuwafanya watu wawili tofauti kukubaliana jambo lile lile

Nadhani hadi hapo uthibitisho utakapopatikana badala ya ushahidi ndipo mgogoro huu utakwisha!
 
Nadhani hadi hapo uthibitisho utakapopatikana badala ya ushahidi ndipo mgogoro huu utakwisha!

Unamaanisha uthibitisho unaoonyesha kweli dunia ina umbo la mduara kama mpira unaotumiwa kuchezea mchezo wa mpira wa miguu?
 
Eti mzungu elimu yake ni kwaajiri ya kudanganya Africa,japo najua Africa elimu yetu ndogo ila sikudhani ni kwa kiwango hiki.mi naona utafiti wako ungekuwa umeufanya kwa kuenda anga za juu (tuseme kama mile 200,000 kwenda juu )halafu jaribu kuiangalia dunia kwa juma uniambie utaona nini
 

Wingi au uchache wa wanaopinga au kukubali dhana si hoja.

Tushaona hoja nzuri ikipingwa na wengi mpaka muda wake unapofika inakubaliwa.

Na pia kuna hoja nzuri zinazokubaliwa na wengi na kupingwa na wachache.

Kwangu mimi, kitu muhimu cha kuangalia si wangapi wanapinga au kukubali hoja, bali mantiki ya hoja.

Maana hata watu wa dunia nzima wakisema kwamba jua haliwaki, kama jua linawaka, watu wa dunia nzima kusema kwamba haliwaki hakufanyi jua liwe haliwaki.

Ukitaka uthibitisho wa kweli utashindwa hata kuamka kutoka kitandani asubuhi.

Maana hamna uthibitisho kwamba sakafu itaweza kukuhimili ukiweka mguu chini.

This is why we have frameworks, margins of errors, negligible residual immesuarability, Heisenbergs Uncertainty Principle etc., etc.
 
Kwenye hilo tuko pamoja kwa sababu hata mimi sijawahi kuuona huo uthibitisho zaidi ya kusoma maandiko ya watu na kusikia madai ya watu tu.

Ukienda kwa habari hiyo, hakuna kitu cha duara.

Maana duara ni a mathematical conception whose perfection cannot stand the mundaneness of physicality.

What's next? The moon landing did not happen and all those satellite photos are fakes?
 
Ukienda kwa habari hiyo, hakuna kitu cha duara.

Maana duara ni a mathematical conception whose perfection cannot stand the mundaneness of physicality.

What's next? The moon landing did not happen and all those satellite photos are fakes?

Ni ngumu sana kwa baadhi ya watu kama sisi kuamini tu kuwa kweli dunia ni duara wakati huwezi kukaa au kusimama sehemu na kuuona huo uduara wake.

Na kama uduara ni dhana ya kihisabati tu, ina maana kiuhalisia basi dunia si duara (mviringo), siyo?

Kuhusu moon landing, kwa ma semi-eternal skeptics kama mimi tunaweza kuhoji kuwa hao waliotua walijuaje kama kweli walitua mwezini na si sehemu ingine ila wao wakadhani wametua mwezini?

Manake isije kuwa kama mambo ya Christopher Columbus na India auVasco Núñez de Balboa na wenzake waliodhani wameua Tiger ilhali huko walikotoka hawakuwahi hata kumwona huyo mnyama.
 

Kwa msingi huo unaweza hata kuhoji kama kweli upo au ni wazo tu kichwani mwa Master Fahd the Mas scientist above.

Why not?
 
Kwa msingi huo unaweza hata kuhoji kama kweli upo au ni wazo tu kichwani mwa Master Fahd the Mas scientist above.

Why not?

Hahahaaaa wakati mwingine huwa nipo hivyo.

Ever had an out-of-body experience?
 
Hahahaaaa wakati mwingine huwa nipo hivyo.

Ever had an out-of-body experience?

What's that? Is that when you smoke some mushroom too much and you feel so high that you can touch the sky and talk to Bob Marley?
 
Kuna watu wanampinga mleta maada bila kuwa na hoja ya msingi, wanasema ''mbona ipo hivyo siku nyingi na kuna picha nyingi'' mwingine anasema ''wazungu wote wamekubali'' hahahaha st.upid africans
 




Wewe hata Mungu unamwamini kwa woga tu kwa sbabu umesikia atakutupa jehanam ya moto milele ma milele.

Mana kama unapanda ndege inayobeba mpaka tani 40 na kuruka angani kwa ufasaha halafu ukiletewa picha iliyopigwa na kamera na kuonyesha umbo la dunia unasema unadanganywa na wanasayansi ni jambo la kumkufuru Mungu aliyeumba binadamu na kuwapa uwezo mkubwa wa maarifa ili wanaomjua Mungu wamsifu kwa wema wake wa kutuletea wanasayansi na kutufanya tumwabudu kwa usahihi na kwa uhakika wa kila jambo tunaloliona kwa Macho.
Na tusipotoshwe kwa urahisi kwa kuuta mwezi na nyota ni miungu. Sayansi imesababisha tutambue kuwa mwezi na jua si miungu wala mashetani.
 

As long as you live inconsistently with your non theism, you can enjoy the wonder and purpose of God's provision, while keeping your head in the sand, ignoring to the logical implications of if non theism.

When you think about non theism is where the Nihilistic trouble immediately begins. But non theism is a mindless faith.
 
What's that? Is that when you smoke some mushroom too much and you feel so high that you can touch the sky and talk to Bob Marley?
Mindless non theism.

You can bring evidences of No God. You can't answer my questions. You evade every point I make.
I completely refute all the sloppy-thinking rubbish you offer

You have no answers and no good arguments for No God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…