Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Wewe ukiwa kwenye ndege ukitaka kwenda 🚽 kama choo kiko uelekeo tofauti na inakoelekea huwa unachelewa kufika msalani, satellite huwa inazungukunga angani au haizunguki? Obviously inazunguka inaporushwa kutoka duniani kwenda orbit 💫 yake huwa inaingia kwa speed kama ile ya dunia kwa zinakuwa kama mabasi mawili yanatembe side by side speed ya kufanana wale walioko kwenye basi wanaona kama yamesimama tu