Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Wewe ukiwa kwenye ndege ukitaka kwenda 🚽 kama choo kiko uelekeo tofauti na inakoelekea huwa unachelewa kufika msalani, satellite huwa inazungukunga angani au haizunguki? Obviously inazunguka inaporushwa kutoka duniani kwenda orbit 💫 yake huwa inaingia kwa speed kama ile ya dunia kwa zinakuwa kama mabasi mawili yanatembe side by side speed ya kufanana wale walioko kwenye basi wanaona kama yamesimama tu
Sasa ukiwa ndani ya ndege sawa na ukiwa juu ya mgongo wa ndege effect ni sawa ?
Wataalam wa anga wanapochunguza vilivyopo angani wakiwa kwenye vituo vyao wanawezaje kuvichunguza na kuviona wakati vituo vyao vipo kwenye dunia ambayo iko kwenye motion au na vyenyewe/ zenyewe zina speed sawa na dunia hivyo kuwa sawa na mabasi mawili sambamba yenye speed sawa ?
Same speed!!! Vitu vyote vilivyoko duniani na kwenye atmosphere yake vina move at the same speed same momentum
Biblia naona jamaa alienda chaka kidogo, pembe nne za dunia haimaanishi dunia ni flat, kwani si kuna north,west,east na south!! Afu anavosema jua na mwezi vikasimama, hiyo ni lugha ya picha tu... Kama haamini dunia ni round akasome kwenye bibllia
Isaya 40:22 "Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi"
Mkuu Dreson4, mleta maada ana ushawishi kiasi chake lakini pia nakubaliana na maelezo yako
naomba nikuulize swali la kizushi tu
kwahiyo hivyo vifungu vya biblia vina walakini au mleta maada ndio hajavisoma na kuvielewa vizuri ??
.made in mby city.
Mkuu Dreson4, mleta maada ana ushawishi kiasi chake lakini pia nakubaliana na maelezo yako
naomba nikuulize swali la kizushi tu
kwahiyo hivyo vifungu vya biblia vina walakini au mleta maada ndio hajavisoma na kuvielewa vizuri ??
.made in mby city.
usilete udini katika sayansi,hii ni mada nyingine wangu ndugu.
Mkuu Imany John mbona unakurupuka kuandika bila hata kufikiria kidogo ?
hivi unajua maada inahusu nini ?
kabla ya kunikurupukia mimi, kwanini usingeanza na huyo mleta maada ambaye kaweka reference za kwenye bible ?
hivi kunaweza kukawa na kitabu cha dini bila dini ?
.made in mby city.
Hahaha! mtanzania naona lugha ya picha inakuchanganya kidogo! imeandikwa "watu kama panzi" sio "watu ni panzi" LOL! wazungu wanaiita "simile" bahati mbaya kiswahili nilikua nadodge darasa mwalimu alikua anatandika sana siikumbuki inaitwaje...Yaani hata mimi ni panzi? Sikubali!!!
swali lako umelenga nini kama sio udini? yule kaambatanisha tu kama nyenzo za kumsaidia kujenga hoja,sasa kwa wasio amini biblia unafikiri atakuwa kawashawishi kitu gani? ndio maana nikakuelekeza kuwa ulichokiulizi ni mada mpya.
umeamka salama lakini?
hahaha dunia ikiwa flat ukitaka kwenda marekani unaweza tokea australia na kuzunguka kulia ukafika, au ukatokea hapa bongo ndege ikaenda kushoto na ukafika.. sasa ingekua flat wa australia si wangefika mwisho wa dunia afu waanguke... hahaha au kama ni bahari basi si maji yangemwagika mwisho wa dunia yakaisha manake ingekua ka meza.. hahaha hadi najihisi naongea pumba
mkuu Imany John, hivi unazani kuwa mimi ni-mwamini wa biblia au vitabu vya kidini ?
mkuu mimi kitu chochote nitakachoona cjaelewa vizuri basi lazima niulize huwa sijari wewe utasema nini
lengo la kumuuliza vile mkuu Dreson4 ni kutaka kujua kaelewa vipi maada nzima, maana ukiangalia vizuri mkuu Dreson4 alijibu baadhi ya eneo la maada na kuacha bonge la nafasi unanswered
nimeamka salama kabisaa mkuu ila ughaibuni baridi balaa
.made in mby city.