The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

  • Yes

  • No

  • I Am Not Sure

  • I Don't Care


Results are only viewable after voting.
Watu wanaogopa kupiga kura hata hapa JF?
 
Chukuwachakomapema wana maana yao kumuweka pale. Wametajirika kulikoni!
Kikaragosi wa walafi, waroho, mafisadi na wahuni wa rasilimali na maliasili za taifa!
 
To say a disappointing president is to say the least. Samia is actually the most unlearned, most unimaginative, most uneducated and furthermore least liked.
 
Xi Jinping yuko mbele kwa umri na bado anajua njia ya kupita.
Maana yangu ni kwamba tatizo la CCM wameshindwa kuangalia makuzi ya viongozi wao. Hata ukiwa na miaka 30 au 40, kama makuzi ni ya hovyo kama ya akina Kiziga, Lugumi, Abdul, nk. hutaweza kuwa kiongozi wa maana.

Ukiwa na makuzi ya maana, hata uwe na miaka 90, utajua nini kifanyike. Miaka ya mwanzo wa makuzi yetu hapo kwenye 13 hadi 25, ni muhimu sana kuliko baadaye yetu. Angalia maisha ya Samia utaelewa.

Unafeli form 4, unaanza kusafiri hadi uarabuni na India ukifanya kazi isiyojulikana. huenda ni ile taaluma kongwe. Unaibukia NGO zetu za Bongo, unakutana na wanasiasa malaya malaya. Mara pah! unafaa kugombea uongozi.

Sehemu pekee anayojivunia ni kusoma Mzumbe, ile IDM ambayo tunajua nini kilikuwa kinafanyika pale! Hiyo tu! Baadaye eti ana digrii ya OUT! Yaani OUT! Kwani hatuijui? Ndo huo uchumi usioweza kutofautisha dola na shilingi!

Kama kawaida ya CCM bara, inachota wa-Zenj inaoweza kuwamudu. Mara makamu wa rais, mara unapachikwa kiti cha marehemu. Unaaminishwa una ufahamu. Unajipa uwezo usiokuwepo. Unaanza kutafuta sifa za bandia. kila anayekusifu unampa nafasi. Pembeni waliokubeba bado wanakushauri, wewe mwenyewe huwezi kuona udhaifu wao unaamini wanauelewa.
 
Kura zinafungwa kesho wakuu pigeni za mwishomwisho kabla sijazirudisha The Economist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…