Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
Samia yuko Kama wazee wengi
Wanakuwa na hulka ya kutamani kubaki in control/power hata Kama mambo yanaenda mrama…kubaki independent wasisaidiwe chochote….wakati wana deteriorate daily… criticise kidogo uone moto wao..
Kitendo cha kumuweka Kizigha kwenye Ile nafasi ndio nimeconclude huyu mama kazeeka, anaona critics wake Kama maadui personal, sio kwamba wanactrisise uongozi wake Bali yeye
Marais iwekwe Sheria wasiongoze beyond 60 years of age1
Kwanza as you age kuna cognitive decline, hivyo umakini unapungua
And second mbona wengine wana retire at 60, aende tu kwa kweli
60yo sio uzee sana hasa dunia ya leo. Wazee wengi tu umri huo bado wanafunction vizuri kabisa mentally and physically. Kadhalika hiyo inaweza kuwa age descrimination, no?
Hapa tatizo ni Samuya mwenyewe, hana utashi, elimu wala mental capacity to handle majukumu ya urais. Hata angepata hiyo nafasi akiwa 30yo bado angepuyanga maana akili yake imeishia hapo. Kakiri mwenyewe hana uwezo wa kufuatiliam miradi closely which speaks volume of her.