Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Huo ndio umri mzuri kwa nafasi kama hizo.Samia yuko Kama wazee wengi
Wanakuwa na hulka ya kutamani kubaki in control/power hata Kama mambo yanaenda mrama…kubaki independent wasisaidiwe chochote….wakati wana deteriorate daily… criticise kidogo uone moto wao..
Kitendo cha kumuweka Kizigha kwenye Ile nafasi ndio nimeconclude huyu mama kazeeka, anaona critics wake Kama maadui personal, sio kwamba wanactrisise uongozi wake Bali yeye
Marais iwekwe Sheria wasiongoze beyond 60 years of age1
Kwanza as you age kuna cognitive decline, hivyo umakini unapungua
And second mbona wengine wana retire at 60, aende tu kwa kweli
Mtu anakuwa ametulia katika harakati nyingi.
Ukileta kijana sana, atatuletea washkaji zake watupige wasepe.