Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru.
The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War.
Chini ya Samia kumeshuhudiwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kama, kubaka watu, kutesa, kulawiti watu ,na kurekodi watu video za utupu.
Ninachofurahi unafiki wa Samia umefika mwisho ata afanye Nini Dunia nzima inajua kuwa ni Angel of death.