The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

Usitoe jibu la jumla. Naomba jawabu kwa kila swali respectively...

1. Dubai ni nchi ama siyo nchi?

2. IGA hii kati ya DUBAI & TANZANIA, ni administrative ama ni business?

3. Agreement ni Policy?

-Kaveli-
 
Yawezekana Rais wetu kuna mchezo kaucheza kati yake na Mfalme wa Dubai.
 
Usitoe jibu la jumla. Naomba jawabu kwa kila swali respectively...

1. Dubai ni nchi ama siyo nchi?

2. IGA hii kati ya DUBAI & TANZANIA, ni administrative ama ni business?

3. Agreement ni Policy?

-Kaveli-
1. Dubai siyo nchi
2. IGA ni administrative of bunisess nature
3. IGA ni policy which is defined as a course or principle of action adopted or proposed by an organization or individual.
 
Usitoe jibu la jumla. Naomba jawabu kwa kila swali respectively...

1. Dubai ni nchi ama siyo nchi?

2. IGA hii kati ya DUBAI & TANZANIA, ni administrative ama ni business?

3. Agreement ni Policy?

-Kaveli-
Huyu comte, kwa vyovyote vile hata hajui ana - argue kitu gani...

Kuthibitisha hili, tayari ameanza kuipotezea hoja yake Kwa kushindwa kuitetea Kwa kuanza kuposti nyimbo za mwanaCCM mwenzao hayati John Komba hapo ☝️☝️☝️ juu.!!

Kwa jibu hili, sitashangaa akinirushia bonge la tusi maana watetezi wa "nani kama mama" a.k.a "chawa wa mama" wakielemewa na hoja, hukimbilia kwenye matusi au kukodi bunduki polisi ili wawavizie walio kinyume nao wawa - pyuu pyuu πŸ”«πŸ”«πŸ”«πŸ”«
 
1. Dubai siyo nchi
2. IGA ni administrative of bunisess nature
3. IGA ni policy which is defined as a course or principle of action adopted or proposed by an organization or individual.

Acha kupotosha IGA ni makubaliano baina ya Nchi na Nchi na sio Organization or Individual
Hivi nyie huko shule mlienda kusomea ujinga na umbumbumbu wa kiasia gani?
 
Kwa muktadha wako naomba nitajie nchi zinazopakana na Tanzania.
Halafu tutarudi kwenye Civics ya form 2 tuone mtaala unasemaje .
 
Kwa muktadha wako naomba nitajie nchi zinazopakana na Tanzania.
Halafu tutarudi kwenye Civics ya form 2 tuone mtaala unasemaje .
CIVICS hahahah hata biblia ina tafasri yake ya ujirani
 
Kwa vyovyote vile hatutaki Bandari za Tanganyika kuangukia mikononi mwa Waarabu. Period
 
Kwanini tusiwaache DPW wajitetee wenyewe? Waarabu wanatuona wapumbavu na ombaomba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…